ze-dudu
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 17,273
- 22,004
Duuuh Mungu wangu ukweli mtupu huu.....
Kwenye movie ya Django unchained Mzungu mmoja anasema kuna study ya kiscience inaitwa "Phrenology" kwamba sisi waafrica tuna kitu kinachohusisha na "submissiveness".Kwa hiyo tunapenda kutawaliwa na kutumikishwa na tunafeel proud kuwa slaves.
Hatuna ule uthubutu kwa kurevenge na kurise up kupigania haki kama binadamu.Ndio maana recently UKUTA ilishindikana.hahahah!!
Mwanzilishi wa hii "Science of Phrenology" Charles Caldwell aliwahi kusema anashangaa kuona watumwa wake wameridhika kuliko yeye.
Kwa hiyo hatuwezi kuendelea bila ya mzungu.