Kwani wazungu wana nini ambacho waafrika hatuna: What is the missing link?

Ngwanakilala

JF-Expert Member
Jun 25, 2011
774
1,456
Afrika ya Kusini ndio the largest economy in afrika with the best infrastructure in the entire continent. Mafanikio haya yamewezekana kwasababu kuna mzungu anaishi pale mpaka leo

Zimbabwe uchumi umeanguka kabisa baada ya kuanza kumuondoa mzungu. Na sasa wazimbabwe wote wanahamia afrika ya kusini kuyafata mema ya mzungu

Wakati wa ukoloni babu zetu waliwindwa kama wanyama wakadakwa wakauzwa na kupelekwa ulaya utumwani. Lakini sasa waafrika maelfu kwa maelfu wanakimbilia ulaya. Wanajipeleka wenyewe kwa mzungu tena wengine kwa kurisk maisha yao kwenye mediteranian sea.

Kule marekani mitaa wanayoishi wazungu ni bora kabisa na iko very civilized and well kept. Lakini mitaa ya waafrika ni gettho na familia zao ni vurugu tupu zenye mimba za utotoni na vijana wanaokataa shule. Hata Chris Rock aliwahi kutania kwamba ukipiga simu usiku wa manane ikawa wrong namba akipokea mweusi atakutukana lakini akipokea mzungu atakuuliza kwani ulikua unamtafuta nani labda naweza kukusaidia.

Hapa Tanzania mashirika mengi yalikufa baada ya mzungu kuondoka. Mfano mmoja ni yale mashamba ya Nafco basutu na mbarali na hata mashamba ya mkonge tanga nk

Kwani mzungu ana nini ambacho waafrika hatuna ambacho kinamfanya yeye anafanikiwa tu na sisi tunafeli kila mahali dunia nzima. Yani waafrika popote walipo na chochote wanachofanya kinafeli lakini wazungu popote walipo wanafanikiwa

Kule Haiti ambako ni karibu kabisa na america nchi imeharibika kabisa kwasababu ni nchi ya mwafrika. Meya mmoja wa Washington DC aliekua mweusi alikamatwa kwa rushwa wakati Washington DC is one of poorest city in america kwakua viongozi wake ni weusi simillar to chicago inayoongoza kwa crime rate and homicides in the united states kwakua viongozi ni weusi.

What is the missing link

Where is the missing link and where did it originate from.

Is the gap cultural, religion, economic, or psychological.

safari hii naomba tusifocus kwa mwafrika na mapungufu yake hebu tufocus na mzungu kwani nini alicho nacho mzungu ambacho sisi hatuna?

Sisi waafrika tukisoma na mzungu darasani hua tunawashinda tunaongoza katika masomo na hata katika athletic abilities lakini mwisho wa siku mzungu anaendelea kufanikiwa sisi tunarudi nyumbani kuendelea kufeli

Je ni nini ambacho mzungu anacho siso hatuna?
 
The difference is,,,,,,,,,,,walituletea social affairs nyingi ambazo zilivuruga njia na mfumo mzima wa maisha yetu kwa maslahi yao ya miaka mingi ahead,kwa uchache sana,,,,,,fikiria mfumo wa elimu kwa nchi zote za kiafrika,kila nchi inafata mfumo wa her colonial master,,,,,,, hii ni kwa faida ya nani???dini (imported religious affairs) ni janga lingine kubwa kwetu,tuje kwenye political affairs, kila kitu mifumo na utendaji wa serikali zetu zinafata au kukopi toka kwa colonial masters,et mabunge ya jumuiya ya madola,je mahitaji na changamoto za kijamii,kiuchumi,kisiasa na kiutamaduni kwa watanzania na wakenya yanafana na ya waindonessia,wahindi na waingereza hadi tutumie mfumo ufananao kwa ujinga wa jumuiya ya madola????tumepoteza our natural potentials ktk kila nyanja ya maisha na hatukujipanga kuikabili mifumo (mentality) ambayo tuliachiwa na wakoloni,,,,,,,,,mungu ibariki na inasue afrika,,,,,,,,,,,,,,,!!!kutoka 411kj ruhuwiko songea,buffet nawatakieni asbuhi njema wote
 
Nakubaliana na wewe, waafrika tuna matatizo na nadhani kuna shida kwenye akili zetu.

Tofauti yetu kubwa na wazungu ni nidhamu, wazungu wana nidhamu, wamestasrabika, mtu akikosea na ukamwambia anakiri kosa huku kwetu hatukosei, sisi tunajua kila kitu, sisi hatushauriki.

Duniani kote watu wenye akili ni wachache kuliko wajinga, wajinga ni wengi sana. Wazungu wao walikubaliana mambo muhimu na ya kitaaluma waachiwe wataalam, sheria zitungwe na wataalam kwa maslahi ya nchi na sio maslahi ya serikali/chama kilichopo madarakani. Wazungu walikubaliana kua wataongozwa na kanuni zilizotungwa na wenye akili.

Huku kwetu hatuna nidhamu, sheria na kanuni zinatungwa na wanasiasa wasio na akili, wabinafsi wanaojipenda na familia zao. Sheria na kanuni hazitungwi kwa maslahi ya nchi bali ya wanasiasa. Huku kwetu wajinga huongoza watu wote, wenye akili na wajinga wenzao.

Waafrika hatuna ustaarabu, wabinafsi, wenye roho mbaya, tusio na nidhamu ya chochote, tusiojali muda, tusio na maono ya mbali, tusiotaka kupingwa, sisi tunataka kusifiwa tuuu, kupongezwa hata tukifanya ujinga, kupenda kutukuzwa. Angalia viongozi wetu walivyo

Waafrika ni shida. .
 
Sijui tatizo ni mzungu, au vipi!!

Tuanze na Dar es salaam!! Toa Wazungu, tupa kule! Tafuta wastani wa kimaisha wa watu wenye ngozi nyeupe/nywele laini kisha linganisha na ule wa ngozi nyeusi nyewle za kipilipili!

Kisha imege Dar es salaam, kisha chukua eneo moja tu... hata USWAHILINI! Tafuta wastani wa ubora wa kimaisha wa watu wenye ngozi nyeupe ambao majority (hata kama ni watatu) watakuwa ni wale wenye asili ya Mashariki ya Kati, kisha linganisha na wastani wa kimaisha wa akina nywele za kipilipili!!

Ondoka Dar, nenda mkoa wowote wenye angalau watu wawili watatu wenye ngozi nyeupe kwenye vijiji vyao!

Huko nako tafuta wastani wa kimaisha wa watu wenye ngozi nyeupe (hata kama mtawaita sijui waarabu koko) kisha linganisha na wa akina sie!

Thanks God to the Entertainment and Sports Industry in the US, vinginevyo akina 50Cent hivi sasa wasingekuwa na tofauti na Blacks wakata viuno waliopo mahali kama Brazil!

Hivi nani atanikumbusha ile simulizi kwamba eti siku moja toto lenye nywele za kipilipili lilikuta mshua kafungua neti kwenye kibaraza huku vyombo vinaning'inia!!

Dogo alivyokuwa wenge, akaona kideo cha katuni za kuchekesha si ndo hiki!!!

Kuja mtoto wake mwingine mwenye nywele laini, alichofanya ni kwenda kuchomoa betri, kideo kikabaki kuonesha chenga tu!!

Nasikia lile toto lingine lililokuwa linamgeuza mshua kideo likapigwa laana inayotuandama hadi kesho :rolleyes::rolleyes::rolleyes:!!
 
the difference is,,,,,,,,,,,walituletea social affairs nyingi ambazo zilivuruga njia na mfumo mzima wa maisha yetu kwa maslahi yao ya miaka mingi ahead,kwa uchache sana,,,,,,fikiria mfumo wa elimu kwa nchi zote za kiafrika,kila nchi inafata mfumo wa her colonial master,,,,,,, hii ni kwa faida ya nani???dini (imported religious affairs) ni janga lingine kubwa kwetu,tuje kwenye political affairs, kila kitu mifumo na utendaji wa serikali zetu zinafata au kukopi toka kwa colonial masters,et mabunge ya jumuiya ya madola,je mahitaji na changamoto za kijamii,kiuchumi,kisiasa na kiutamaduni kwa watanzania na wakenya yanafana na ya waindonessia,wahindi na waingereza hadi tutumie mfumo ufananao kwa ujinga wa jumuiya ya madola????tumepoteza our natural potentials ktk kila nyanja ya maisha na hatukujipanga kuikabili mifumo (mentality) ambayo tuliachiwa na wakoloni,,,,,,,,,mungu ibariki na inasue afrika,,,,,,,,,,,,,,,!!!kutoka 411kj ruhuwiko songea,buffet nawatakieni asbuhi njema wote

Uko sahihi tena uko makini sana

Baada uhuru au pale tulipofikisha miaka 20 au hata 30 baada ya uhuru kulikua na haja ya kuangalia mifumo yetu yote ya kijamii ili kujenga mifumo mipya itakayokidhi mahitaji yetu sisi wenyewe ambayo nitofauti naya mzungu. Mifumo ya kikoloni, tuliyo achiwa na kuendelea nayo, haikuundwa ili kumuendeleza muafrika au kuendeleza nchi lakini sisi tunaendelea nayo kama vipofu au nyumbu na hapo ndio tunapoishia kuingia choo cha kike
 
Sijui tatizo ni mzungu, au vipi!!

Tuanze na Dar es salaam!! Toa Wazungu, tupa kule! Tafuta wastani wa kimaisha wa watu wenye ngozi nyeupe/nywele laini kisha linganisha na ule wa ngozi nyeusi nyewle za kipilipili!

Kisha imege Dar es salaam, kisha chukua eneo moja tu... hata USWAHILINI! Tafuta wastani wa ubora wa kimaisha wa watu wenye ngozi nyeupe ambao majority (hata kama ni watatu) watakuwa ni wale wenye asili ya Mashariki ya Kati, kisha linganisha na wastani wa kimaisha wa akina nywele za kipilipili!!

Ondoka Dar, nenda mkoa wowote wenye angalau watu wawili watatu wenye ngozi nyeupe kwenye vijiji vyao!

Huko nako tafuta wastani wa kimaisha wa watu wenye ngozi nyeupe (hata kama mtawaita sijui waarabu koko) kisha linganisha na wa akina sie!

Thanks God to the Entertainment and Sports Industry in the US, vinginevyo akina 50Cent hivi sasa wasingekuwa na tofauti na Blacks wakata viuno waliopo mahali kama Brazil!

Uko sahihi kabisa
 
Afrika ya Kusini ndio the largest economy in afrika with the best infrastructure in the entire continent. Mafanikio haya yamewezekana kwasababu kuna mzungu anaishi pale mpaka leo

Zimbabwe uchumi umeanguka kabisa baada ya kuanza kumuondoa mzungu. Na sasa wazimbabwe wote wanahamia afrika ya kusini kuyafata mema ya mzungu

Wakati wa ukoloni babu zetu waliwindwa kama wanyama wakadakwa wakauzwa na kupelekwa ulaya utumwani. Lakini sasa waafrika maelfu kwa maelfu wanakimbilia ulaya. Wanajipeleka wenyewe kwa mzungu tena wengine kwa kurisk maisha yao kwenye mediteranian sea.

Hata dada yetu Mange Kimambi aliwahi kuandika article yenye kichwa cha habari " jinsi ya kupata mume mzungu"

Kule marekani mitaa wanayoishi wazungu ni bora kabisa na iko very civilized and well kept. Lakini mitaa ya waafrika ni gettho na familia zao ni vurugu tupu zenye mimba za utotoni na vijana wanaokataa shule. Hata Chris Rock aliwahi kutania kwamba ukipiga simu usiku wa manane ikawa wrong namba akipokea mweusi atakutukana lakini akipokea mzungu atakuuliza kwani ulikua unamtafuta nani labda naweza kukusaidia.

Hapa Tanzania mashirika mengi yalikufa baada ya mzungu kuondoka. Mfano mmoja ni yale mashamba ya Nafco basutu na mbarali na hata mashamba ya mkonge tanga nk

Kwani mzungu ana nini ambacho waafrika hatuna ambacho kinamfanya yeye anafanikiwa tu na sisi tunafeli kila mahali dunia nzima. Yani waafrika popote walipo na chochote wanachofanya kinafeli lakini wazungu popote walipo wanafanikiwa

Kule Haiti ambako ni karibu kabisa na america nchi imeharibika kabisa kwasababu ni nchi ya mwafrika. Meya mmoja wa Washington DC aliekua mweusi alikamatwa kwa rushwa wakati Washington DC is one of poorest city in america kwakua viongozi wake ni weusi simillar to chicago inayoongoza kwa crime rate and homicides in the united states kwakua viongozi ni weusi.

What is the missing link

Where is the missing link and where did it originate from.

Is the gap cultural, religion, economic, or psychological.

safari hii naomba tusifocus kwa mwafrika na mapungufu yake hebu tufocus na mzungu kwani nini alicho nacho mzungu ambacho sisi hatuna?

Sisi waafrika tukisoma na mzungu darasani hua tunawashinda tunaongoza katika masomo na hata katika athletic abilities lakini mwisho wa siku mzungu anaendelea kufanikiwa sisi tunarudi nyumbani kuendelea kufeli

Je ni nini ambacho mzungu anacho siso hatuna?
Uchawi wa wazungu wameuelekeza kwenye maendeleo, uchawi wa Mwafrika kauelekeza kwenye kumuumiza mwenzake.

Roho mbaya tu. Hakuna zaidi.
 
the difference is,,,,,,,,,,,walituletea social affairs nyingi ambazo zilivuruga njia na mfumo mzima wa maisha yetu kwa maslahi yao ya miaka mingi ahead,kwa uchache sana,,,,,,fikiria mfumo wa elimu kwa nchi zote za kiafrika,kila nchi inafata mfumo wa her colonial master,,,,,,, hii ni kwa faida ya nani???dini (imported religious affairs) ni janga lingine kubwa kwetu,tuje kwenye political affairs, kila kitu mifumo na utendaji wa serikali zetu zinafata au kukopi toka kwa colonial masters,et mabunge ya jumuiya ya madola,je mahitaji na changamoto za kijamii,kiuchumi,kisiasa na kiutamaduni kwa watanzania na wakenya yanafana na ya waindonessia,wahindi na waingereza hadi tutumie mfumo ufananao kwa ujinga wa jumuiya ya madola????tumepoteza our natural potentials ktk kila nyanja ya maisha na hatukujipanga kuikabili mifumo (mentality) ambayo tuliachiwa na wakoloni,,,,,,,,,mungu ibariki na inasue afrika,,,,,,,,,,,,,,,!!!kutoka 411kj ruhuwiko songea,buffet nawatakieni asbuhi njema wote

Kabla ya hao wazungu kuja wewe ulikuwa umepiga hatua gani? Kifupi tuliwekeza kwenye utamaduni tu mambo ya ngoma etc, dats why wao wakaona hatuna ishu wakaona watuletee angalau mfumo utakaotufanya tuendelee.
Kuna mwarabu mmoja aliwahi sema "wao wanaendelea na sisi watu weusi hatuendelei sababu moja tu " uongozi" akaishia hapo
 
Uko sahihi tena uko makini sana

Baada uhuru au pale tulipofikisha miaka 20 au hata 30 baada ya uhuru kulikua na haja ya kuangalia mifumo yetu yote ya kijamii ili kujenga mifumo mipya itakayokidhi mahitaji yetu sisi wenyewe ambayo nitofauti naya mzungu. Mifumo ya kikoloni, tuliyo achiwa na kuendelea nayo, haikuundwa ili kumuendeleza muafrika au kuendeleza nchi lakini sisi tunaendelea nayo kama vipofu au nyumbu na hapo ndio tunapoishia kuingia choo cha kike
exactly
 
Kabla ya hao wazungu kuja wewe ulikuwa umepiga hatua gani? Kifupi tuliwekeza kwenye utamaduni tu mambo ya ngoma etc, dats why wao wakaona hatuna ishu wakaona watuletee angalau mfumo utakaotufanya tuendelee.
Kuna mwarabu mmoja aliwahi sema "wao wanaendelea na sisi watu weusi hatuendelei sababu moja tu " uongozi" akaishia hapo
 
Afrika ya Kusini ndio the largest economy in afrika with the best infrastructure in the entire continent. Mafanikio haya yamewezekana kwasababu kuna mzungu anaishi pale mpaka leo
Zimbabwe uchumi umeanguka kabisa baada ya kuanza kumuondoa mzungu. Na sasa wazimbabwe wote wanahamia afrika ya kusini kuyafata mema ya mzungu
Wakati wa ukoloni babu zetu waliwindwa kama wanyama wakadakwa wakauzwa na kupelekwa ulaya utumwani. Lakini sasa waafrika maelfu kwa maelfu wanakimbilia ulaya. Wanajipeleka wenyewe kwa mzungu tena wengine kwa kurisk maisha yao kwenye mediteranian sea.
Hata dada yetu Mange Kimambi aliwahi kuandika article yenye kichwa cha habari " jinsi ya kupata mume mzungu"
Kule marekani mitaa wanayoishi wazungu ni bora kabisa na iko very civilized and well kept. Lakini mitaa ya waafrika ni gettho na familia zao ni vurugu tupu zenye mimba za utotoni na vijana wanaokataa shule. Hata Chris Rock aliwahi kutania kwamba ukipiga simu usiku wa manane ikawa wrong namba akipokea mweusi atakutukana lakini akipokea mzungu atakuuliza kwani ulikua unamtafuta nani labda naweza kukusaidia.
Hapa Tanzania mashirika mengi yalikufa baada ya mzungu kuondoka. Mfano mmoja ni yale mashamba ya Nafco basutu na mbarali na hata mashamba ya mkonge tanga nk
Kwani mzungu ana nini ambacho waafrika hatuna ambacho kinamfanya yeye anafanikiwa tu na sisi tunafeli kila mahali dunia nzima. Yani waafrika popote walipo na chochote wanachofanya kinafeli lakini wazungu popote walipo wanafanikiwa
Kule Haiti ambako ni karibu kabisa na america nchi imeharibika kabisa kwasababu ni nchi ya mwafrika. Meya mmoja wa Washington DC aliekua mweusi alikamatwa kwa rushwa wakati Washington DC is one of poorest city in america kwakua viongozi wake ni weusi simillar to chicago inayoongoza kwa crime rate and homicides in the united states kwakua viongozi ni weusi.
What is the missing link
Where is the missing link and where did it originate from.
Is the gap cultural, religion, economic, or psychological.
safari hii naomba tusifocus kwa mwafrika na mapungufu yake hebu tufocus na mzungu kwani nini alicho nacho mzungu ambacho sisi hatuna?
Sisi waafrika tukisoma na mzungu darasani hua tunawashinda tunaongoza katika masomo na hata katika athletic abilities lakini mwisho wa siku mzungu anaendelea kufanikiwa sisi tunarudi nyumbani kuendelea kufeli

Je ni nini ambacho mzungu anacho siso hatuna?

Big brains + wisdom: wakifukuzana na Wajapan, Wachina, Wakorea na wengine toka Asia.
 
Back
Top Bottom