Kwani Wazee wa Dar ndio Watu ambao wanastahili kuwaambia matatizo ya Watanzania?

lengume

JF-Expert Member
Mar 25, 2014
318
134
Nimekuwa nikitafakari sana hatua ya mh Rais kuhutubia Wazee wa Dar kama kufikisha ujumbe kwa Watanzania.

Kwani haiwezekani Rais kuita waandishi na kuwaeleza hatua alizochukua dhidi ya wezi wa Escro?.

Mimi naamini kuna jambo mh anataka kuficha kupitia Hao Wazee wa Dar.

Huwa serikali ya Jk inapotaka kufanya mambo makubwa haiwashirikishi Wazee kutoa ushauri. Lakini mambo yakiharibika wanjidai kuhutubia kupitia Wazee. Huu ni usanii mtupu.

Mimi nawaomba Watanzania wezangu endapo Jk hatachukua hatua dhidi ya hawa Wezi basi tuingie mabarabarani kuhakikisha tunawang'oa kwa Nguvu ya Umma.
 
Mkuu hii nchi inaongozwa kienyejienyeji tu. Inakatisha tamaa sana kuishi nchi kama Tanzania.
 
Nimekuwa nikitafakari sana hatua ya mh Rais kuhutubia Wazee wa Dar kama kufikisha ujumbe kwa Watanzania.

Kwani haiwezekani Rais kuita waandishi na kuwaeleza hatua alizochukua dhidi ya wezi wa Escro?.

Mimi naamini kuna jambo mh anataka kuficha kupitia Hao Wazee wa Dar.

Huwa serikali ya Jk inapotaka kufanya mambo makubwa haiwashirikishi Wazee kutoa ushauri. Lakini mambo yakiharibika wanjidai kuhutubia kupitia Wazee. Huu ni usanii mtupu.

Mimi nawaomba Watanzania wezangu endapo Jk hatachukua hatua dhidi ya hawa Wezi basi tuingie mabarabarani kuhakikisha tunawang'oa kwa Nguvu ya Umma.

Wengi hawajasoma na hawajitambui na ndio maana inawapa wepesi wa kuwarubuni.
 
Wale wazee wote mapoyoyo kwahiyo poyoyo nafuu ataongea na mapoyoyo wenzake
 
Wazee wenyewe wote ccm cha ajabu salsa anasema an agenda kuongea na wazee lakini hand I kuongea NAo. An agenda kuwaambia na wazee wrote wataondoka na posho
 
Nimekuwa nikitafakari sana hatua ya mh Rais kuhutubia Wazee wa Dar kama kufikisha ujumbe kwa Watanzania.

Kwani haiwezekani Rais kuita waandishi na kuwaeleza hatua alizochukua dhidi ya wezi wa Escro?.

Mimi naamini kuna jambo mh anataka kuficha kupitia Hao Wazee wa Dar.

Huwa serikali ya Jk inapotaka kufanya mambo makubwa haiwashirikishi Wazee kutoa ushauri. Lakini mambo yakiharibika wanjidai kuhutubia kupitia Wazee. Huu ni usanii mtupu.

Mimi nawaomba Watanzania wezangu endapo Jk hatachukua hatua dhidi ya hawa Wezi basi tuingie mabarabarani kuhakikisha tunawang'oa kwa Nguvu ya Umma.

Mie nadhani hiyo ni kuonyesha uwakilishi tu lakini kiuhalisia anakuwa anaongea na watanzania wote ndio maana anachokiongea kinawekwa wazi!
 
Wazee ndio walioshika mikoba ya nchi hii. Likiweko lolote kubwa lazima aongee nao ili wajue wafanyeje.Uraisi wan chi hii bila wazee huongozi nchi utaingia leo utatoka kesho.Nyie vijana wa DOT COM hamjui mnafikiri nchi inaongozwa na internet na jamii forums
 
Huu ulikuwa utaratibu mzuri wa kufikisha message kwa taifa kipindi cha Nyerere na chama kimoja cha siasa. Wazee wale walikuwa maarufu kijamii na pia kwa historia na ufahamu wao juu ya masuala ya ukombozi na taifa, walikuwa na mchango katika dira ya taifa. Na kwa wakati ule, wale wazee walikuwa wakiheshimika na jamii kwa hiyo walikuwa kama role models in a way kwamba, kupitishia message kwao ili rahiisisha buy in kwenye general public.

Leo hii, ni mtu mburura tu aliyezoea kukariri asiyekuwa na uelewa, ubunifu wala nia ya ushirikishaji wa public, atatumia wazee wa ccm wa leo kama audience ya kuwakilisha taifa. Ama ni kiongozi asiyekuwa na confidence na hivyo ku avoid challenging questions na uwezo mdogo wa ku address masuala magumu, ndiye atatafutiza kitu kama hiki ambacho kwa hali yoyote hakipo na wala si mwakilishi wa Tz kwa namna yoyote ile, kusema ameongea na taifa.

Kwanza hao wazee ni wana ccm ambao kwa kila hali hawana rangi ya maendeleo.

Pili ni watu wasioelewa masual ya kitaifa kwa hiyo wanatumika kama rubber stamp tu.

Hawana uwezo wala arena ya ku disseminate wala kufacilitate utekelezaji wa ujumbe.

Kwa mfumo wa vyama vingi vya siasa lazima watakuwa na biases za kisiasa.

Hawawezi ku interpret wala kuoanisha kinachosemwa na hali halisi ya mambo kitaifa na kimataifa.

Kinatakiwa chombo kingine maalumu chenye watu mchanganyiko na wenye uwakilishi kamili wa jamii ya watanzania ambapo pamoja na wazee, lakini pia makundi mengine muhimu kama wasomi na viongozi wa dini na vyama vya siasa n.k wawakilishwe.
 
Kuongea na wazee wa DSM ni sawa na kuhutubia Taifa kupitia TV. Yaani uite watu uongee nao halafu uondoke bila wao kuuliza maswali kwa kile ulichowaitia na kuwaambia ni upuuzi mkubwa.
 
Wazee wenyewe wote ccm damdam. Afu anasema anaenda kuongea Nao . Kunatofauti ya kuongea nao na kuwaambia. Ye anaenda kuwaambia si kuongea nao kwasababu ye atakuwa anaongea pekeyake wazee wanamshangilia bila hata maswali baadae wazee wanapewa posho Zao afu unakuwa ni ujumbe kwa uma. Kaama ni mjanja awaite wasomi na wataalam aongee Nao. Huyu prof asiyeenda Shule anamatatizo
 
Yani amewakwepa waandishi,wasomi,wachumi,wakulima,wafanyabiashara,wanafunzi Wa vyuo anaenda kuongea na watu ambao mchango wao walioutoa katika taifa unatosha hawaitajiki tena kusumbuliwa zaidi ya wao kuachwa wale bata,
Wazee wana nafasi ndogo sana ya kuwepo miaka 20 ijayo so mambo haya unatakiwa uronge na vijana dokta,hawa ndio unaotakiwa kuwapa maelezo yote,wazee hao hata ukiwahutubia leo kesho washesahau ulisema nini.#team bring back our money
 
Nimekuwa nikitafakari sana hatua ya mh Rais kuhutubia Wazee wa Dar kama kufikisha ujumbe kwa Watanzania.

Kwani haiwezekani Rais kuita waandishi na kuwaeleza hatua alizochukua dhidi ya wezi wa Escro?.

Mimi naamini kuna jambo mh anataka kuficha kupitia Hao Wazee wa Dar.

Huwa serikali ya Jk inapotaka kufanya mambo makubwa haiwashirikishi Wazee kutoa ushauri. Lakini mambo yakiharibika wanjidai kuhutubia kupitia Wazee. Huu ni usanii mtupu.

Mimi nawaomba Watanzania wezangu endapo Jk hatachukua hatua dhidi ya hawa Wezi basi tuingie mabarabarani kuhakikisha tunawang'oa kwa Nguvu ya Umma.

waandishi wa habari gani hao?? hawa hawa tunaosoma habari zao au wengine??
 
Wale wazee wote mapoyoyo kwahiyo poyoyo nafuu ataongea na mapoyoyo wenzake
SIYO WOTE MAPOYOYO NDO MAANA KACHAGUA WAKUONGEA NAO...(MAPOYOYO) hujaskia tangazo jana si wazee wote wa dar wanatakiwa kuhudhuria bali ni wale wenye mualiko maalum.
 
Saa hizi anahutubia na hakuna jipya. Anawahutubia wazee wa Dar kama alivyohutubia Bmk kipindi cha nyuma. Hakuna lolote anaendeleza yaleyale kuwalinda Wezi.
 
hao wazee wanaoitwa ni wale waliokuwaga ktk kijiwe chao cha saigon ....wajinga jinga fulani
 
Back
Top Bottom