Kwani ukubwa wa makalio ni ugonjwa jamani??

Wana JF,

mimi ni binti wa miaka 23, nimeolewa na nina mtoto mmoja. Kwa maumbile, sio siri nina makalio makubwa sana kiasi kwamba kila nikipita sehemu watu wote wanawake kwa wanaume hawaachi kunitazama.................mwanzoni nilikuwa naona aibu sana, lakini sasa hivi nimeshajizoelea...............I mean naona kawaida.

Juzi nilikorofishana na baba watoto, katika kujibizana maneno akanambia, .........."kwanza mwanamke gani wewe, ni presha tupu kukaa na wewe humu ndani................kama ningejua hayo makalio yatafikia hivyo, nisingekuoa..............." kwa hayo maneno nilijihisi vibaya sana na ilibidi ninyamaze kubishana................sasa naona amenichoka na ananitafutia sababu ya kuniacha...........ciju nifanyaje coz najua huu ci ugonjwa, wapo wanaonitamani!
mm ni mmoja wao nipm mama hayo makitu mm tatoa gari
 
Jaribu kubadilisha mavazi, kama muislamu vaa sana hijabu na mavazi yanayostiri mwili, tatizo lenu wadada wa siku hizi ukishajua una mwili mkubwa (shepu na wowowo) basi ndo balaa mavazi utafikiri mko katika maonyesho? lazima mshikaji apate ugonjwa wa moyo, angalia dada usimuue mwenzio halafu jaribu sana kutulia nyumbani ukitoka katika mihangaiko yako, sio ukirudi home na mtaani hutulii kila mtaaa wanakujua wewe, utauaaa.
 
Alikuwa anajaribu kukujaza hasira ili useme "Mbona rafiki yako Juma huwa anayasifia kuwa anayapenda kuyashika" athibitishe kile anachohisi
 
Wana JF,

mimi ni binti wa miaka 23, nimeolewa na nina mtoto mmoja. Kwa maumbile, sio siri nina makalio makubwa sana kiasi kwamba kila nikipita sehemu watu wote wanawake kwa wanaume hawaachi kunitazama.................mwanzoni nilikuwa naona aibu sana, lakini sasa hivi nimeshajizoelea...............I mean naona kawaida.

Juzi nilikorofishana na baba watoto, katika kujibizana maneno akanambia, .........."kwanza mwanamke gani wewe, ni presha tupu kukaa na wewe humu ndani................kama ningejua hayo makalio yatafikia hivyo, nisingekuoa..............." kwa hayo maneno nilijihisi vibaya sana na ilibidi ninyamaze kubishana................sasa naona amenichoka na ananitafutia sababu ya kuniacha...........ciju nifanyaje coz najua huu ci ugonjwa, wapo wanaonitamani!

Kwanza rekebisha kauli yako wewe si binti bali ni mwanamke kwan umeolewa na una mtoto!
Ukishajitambua utaacha sifa za kijinga
 
Umemalizia vizuri sana wapo wanaokutamani ila hawakupendi kama mumeo anavyokupenda wanataka tu wakutumie waishie zao so kuwa mwangalifu na ni vyema kama umejitambua kwa hilo
Ww Jamaa umeongea sana point, ebu nenda kachukue beer kwa Mangi hapo, nakuja kulipa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom