Kwani Ufaulu Kidato cha nne ni lazima ili Kusomea Ufundi?

Mlenge

R I P
Oct 31, 2006
2,125
2,291
Kwani Ufaulu Kidato cha Nne ni Lazima ili Kusomea Ufundi?

Kwa mfano, kijana anataka kusoma mafunzo ya ufundi (VTC/VETA/NTA Level IV): Kwa nini baadhi wanaweka masharti ya kwamba alete cheti cha ufaulu kidato cha nne?

Nielimisheni tafadhali.
 
Nadhani kidato cha NNE ni msingi mzuri ukilinganisha na darasa la 7
Lakini kama sitaki elimu ya vidato, nataka ya ufundi? Wao wanaotaka elimu ya vidato watajisikiaje watakapoambiwa hakuna kusoma sekondari mpaka uwe umehitimu VETA?
 
Lakini kama sitaki elimu ya vidato, nataka ya ufundi? Wao wanaotaka elimu ya vidato watajisikiaje watakapoambiwa hakuna kusoma sekondari mpaka uwe umehitimu VETA?

Hilo halipo na sijawahi kulisikia, ndio maana hawaulizi.

Lingekuwepo ingekuwa habari nyingine
 
Back
Top Bottom