Kwani Peter Msigwa alifanywa nini polisi?

thatha

JF-Expert Member
Apr 29, 2011
15,340
1,566
Ndugu zangu wanajf tangu mbunge wa iringa mjini alivyokamatwa na jeshi la polisi na kulala rumande kwa siku moja katika kituo cha polisi iringa amebadilika sana hii ni pamoja na kuwa na adabu ya aina yake ikiwa ni pamoja na kuacha kuongea ongea najiuliza je ni miongoni mwa masharti aliyopewa polisi au polisi wamemfanya nini au pengine ameamua kuchagua aina nyingine ya maisha?
 
Hatukwa naye huko polisi, unaonaje ukimuuliza yeye mwenyewe?
 
Ndugu zangu wanajf tangu mbunge wa iringa mjini alivyokamatwa na jeshi la polisi na kulala rumande kwa siku moja katika kituo cha polisi iringa amebadilika sana hii ni pamoja na kuwa na adabu ya aina yake ikiwa ni pamoja na kuacha kuongea ongea najiuliza je ni miongoni mwa masharti aliyopewa polisi au polisi wamemfanya nini au pengine ameamua kuchagua aina nyingine ya maisha?

mkuu naona "orifice" inawasha eh??
 
Kwani wewe ulitaka aongee nini tena zaidi ya kumuanika Kinana na ujangili wake ?
Kwa hiyo kwa akili yako watu wa iringa walimtuma akamjadili kinana tu,sasa mbona kamjadili hadi kachoka na kinana anaendelea tu kujenga chama chake wala hajatikisika.
 
SeriaMtoto WikiLiks Tumainiel
Shockings News!!
Green Guard wa CCM Arusha Wamempasua na
shoka Kijana wa Chadema Kata ya Elerai... yuko
mahututi Mt Meru Hospital..! Tumuombee uzima
kwa Mungu..
Siku zote CCM wakizidiwa hukodi wahuni na
kuwatuma kuua raia.. Kwa hapa Arusha huu ni
ukatili wa nne wanafanya tangu kampeni zianze
na Chadema wameshauriwa wasilipize chochote..
 
Ukifika kwenu waeleze hivyo walezi wako hapa jf ni hoja tu,tangu msigwa atoke polisi sijamsikia tena why.

hata mimi sijawahi kumsikia msigwa JF, ila kuna wanaoleta hoja zake humu (including wewe!), maana kwa sie wengine kule kwingine he continues to give constant feedback na kamwe hajanyamaza, ila kwa kuwa wewe ORIFICE inakusumbua umeamua kuja kujikuna kumu

next time tafuta ukuta wenye chipping ujijaze humo
 
Basi La Dar Express leo Limekamatwa mizani limezidisha uzito,,,廾0Ja mchanganyiko
 
Back
Top Bottom