Si jambo jema kuona Mali zetu tulizonunua kwa jasho letu zikikamatwa na wadaiwa wetu.tukiamua kuwa wazalendo twaweza kujikusanya tukalipa madeni yote.mfano mzuri ni wa wakiki Alberto msando amechangisha million tano kulipia deni pale Muhimbili.
Watanzania tuko more than 50 million .tukichukua tu 15 million na kila mmoja akachangia 1000 tunapata :150000000x1000=15 billion.
Ndugu zangu watanzania ,hatuwezi kutoka katika umsakini kama hatuna mshikamano.Faida ya ndege zetu ni kwetu sisi watanzania wote .Faida itokanayo na ndege zetu tutajengewa Barbara,mashule,mahospital,tutanunua dawa za hospital ,mkopo wa elimu ya juu,mishahara ya wafanyakazi nk.
Mitandao ya simu inaweza kusaidia kukusanya michango hiyo kama bunge likiridhia hili.
Kwanini tuzalilishwe eti kisa madeni.