kwani ni lazima wote turundikane Dar es Salaam? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kwani ni lazima wote turundikane Dar es Salaam?

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by majogajo, Mar 28, 2012.

 1. m

  majogajo JF-Expert Member

  #1
  Mar 28, 2012
  Joined: Oct 9, 2011
  Messages: 321
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  jaman kila mtu akiweka uzi wa kuomba kuanzisha biashara wanajamvi watamshauri location achukue maeneo ya Dar, sasa je sisi watu wa mikoani ndani yaani mawilayani tuanzishe biashara gani huko?
   
 2. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #2
  Mar 28, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  zipo biasharaa nyiingi na kubwa za kufanya mikoani....
  nyingi mno
  kilimo,hospitality...entertainment na kadhalika
   
 3. Micha

  Micha JF-Expert Member

  #3
  Mar 28, 2012
  Joined: Sep 12, 2011
  Messages: 269
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Tena nafikiria kuna opportunity nyingi mkoani/wilayani kuliko Dar es salaam na hasa ukiwa creative ukafanya kitu tofauti kidogo. Pia fikiria biashara ya kuchukua vitu Dar es salaam na kuvipeleka huko mkoani/wilayani kwako, unaweza ukawa msambazaji wa some items/products wilaya nzima... you will make money..
   
 4. tz1

  tz1 JF-Expert Member

  #4
  Mar 28, 2012
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 2,118
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Hilo lilikuwa swali zuri kama ungewauliza mawaziri.
   
 5. Narubongo

  Narubongo JF-Expert Member

  #5
  Mar 28, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,922
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 135
  si kweli unayoyasema,kama ni mfuatiliaji wa jukwaa hili utagundua 60%+ tunaoperate vijijini, dar zipo familia tu
   
 6. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #6
  Mar 28, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 591
  Trophy Points: 280
  Kweli jamani, wampwapwa na sisi mwishoni tutakimbilia mjini sasa.
   
 7. M

  Malila JF-Expert Member

  #7
  Mar 28, 2012
  Joined: Dec 22, 2007
  Messages: 4,413
  Likes Received: 737
  Trophy Points: 280
  Vipi nikileta biashara ya machinjio italipa hapo Mpwapwa? Nilipita siku moja huko nikienda Kibakwe, nikaona kila familia ina machinjio yake, ndio maana tunarundikana Dar.
   
 8. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #8
  Mar 28, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 591
  Trophy Points: 280
  italipa malila. Mbona kkoo maduka kibao na kila siku yanaanzishwa mapya. Ngoja tufanye kautafiti.
   
 9. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #9
  Mar 28, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,406
  Trophy Points: 280
  Dar kuna biashara gani? Huku kuna wachuuzi tu!
   
 10. Kuku wa Kabanga

  Kuku wa Kabanga JF-Expert Member

  #10
  Mar 29, 2012
  Joined: Oct 28, 2009
  Messages: 804
  Likes Received: 254
  Trophy Points: 80
  Haha,lkn Dar si ndio commercial capital tz au?and one of the fastest katika kukua kibiashara Afrika.
   
 11. T

  Tasia I JF-Expert Member

  #11
  Mar 29, 2012
  Joined: Apr 21, 2010
  Messages: 1,226
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  kaka hyo nilo highlit bado sana huku mikoani.
  na ni biashara ambayo kamwe hutokosa wateja.
   
 12. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #12
  Mar 29, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  ukumbi kama dar live
  ukiweka mkoa kama mwanza au arusha
  utavuna pesa mpaka ukimbie
   
 13. Z

  Zion Daughter JF-Expert Member

  #13
  Mar 29, 2012
  Joined: Jul 9, 2009
  Messages: 8,936
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Naomba niambie hizo aina za biashara za hospitality
   
 14. m

  majogajo JF-Expert Member

  #14
  Mar 29, 2012
  Joined: Oct 9, 2011
  Messages: 321
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  ngoja nijaribu enterment.......ila maeneo mazuri yalishanunuliwa na wakubwa na wakayaacha idle, ukiulizia unaambiwa usiguse. cjui ntafanyaje?
   
Loading...