Kwani ni lazima wanawake wadeke?

Kigarama

JF-Expert Member
Apr 23, 2007
2,492
1,230
Jamaa yangu mmoja aliwahi kuniambia kwamba wanawake kuumwaumwa ni aina yao ya kudeka ili wajue kama mwanaume unampenda kweli au magumashi. Pia siyo kila kilio cha mwanamke ni kilio cha kweli.

Hata mimi naamini kwamba wakati mwingine wanawake "wanaumwa" ili wawe karibu na wapenzi wao.Au wanalia ili wabembelezwe.

Sasa kwani ni lazima wanawake wadeke ndiyo wajue wanapendwa kwa kubembelezwa?
 
Anaruhusiwa kudeka wiki mbili za mwanzo tu,baada ya hapo binadamu wote ni sawa na mahitaji ni sawa
 
Jamaa yangu mmoja aliwahi kuniambia kwamba wanawake kuumwaumwa ni aina yao ya kudeka ili wajue kama mwanaume unampenda kweli au magumashi. Pia siyo kila kilio cha mwanamke ni kilio cha kweli.

Hata mimi naamini kwamba wakati mwingine wanawake "wanaumwa" ili wawe karibu na wapenzi wao.Au wanalia ili wabembelezwe.

Sasa kwani ni lazima wanawake wadeke ndiyo wajue wanapendwa kwa kubembelezwa?

Nahisi umeshindwa tofautisha kudeka na kutaka attention... kujidai waumwa kila saa hio sio kudeka bali ni kutaka attention iwe kwako mda woote vile mgonjwa ana demand.... Ila kudeka kama kudeka me as a woman lazima nideke once in a while kwa mwanaume wangu for that differentiates who is a Man and who is a Woman..... if you know what i mean....
 
naogopa kuchangia usije uka undergo mutation bureeee! Ngoja tu wanaume tuvumilie bana!
 
AshaDi mi huwa naogopa hata kukucomment maana you are purely a woman of modern times! hahahaaaaaaaaaaaa!

naogopa kuchangia usije uka undergo mutation bureeee! Ngoja tu wanaume tuvumilie bana!

Hey Ndyoko i am an easy going person na hua napokea comments zozote zile hata kama they are not to my taste, for ile kitendo kwamba you have responded to me ni mchango tosha kwangu.... Hivo anytime you feel like commenting please do... Na as much as i may seem morden... i am ethnic to the core - siwezi jibadilisha kila kitu... wouldn't want to change The African woman in ME..... I Love that part in me....

Hivo bana please usiogope mradi tu observe JF Rules....lolz... Haya basi what did you want to say??
 
Kudeka muhimu ukiwa mgumu sana haifai ila kuumwa umwa kunahusianaje na kudeka?
 
kuna wanawake akiona ndugu wa mume wamejaa kwenye nyumba,ataumwa weeh mpaka wapungue....lol
 
Kudeka muhimu ukiwa mgumu sana haifai ila kuumwa umwa kunahusianaje na kudeka?
We sema ukweli hakuna kuumwa umwa kuna kununa ukiuliza,jibu'Roho inaniuma'
Roho ni nini,na inauma vipi?
 
We sema ukweli hakuna kuumwa umwa kuna kununa ukiuliza,jibu'Roho inaniuma'
Roho ni nini,na inauma vipi?

huyo wa kwako peke yako ndio yupo hivyo. Wengine tunadeka kwa mipaka tena kwa nidhamu.
 
Anayejifanya anaumwa anatafuta maradhi ya kusudi. Kiboko yake Mungu ampe ugonjwa/homa kweli, atakoma kudanganya kama yeye ndo kasikia kujifanya kuumwa ndiyo kudeka.

Pozi na maringo ya hapa na pale (yasiyopitiliza hadi yakaboa) yanaingia ktk kudeka.
 
........ ila kuumwa umwa kunahusianaje na kudeka?

Mtu kila weekend anaumwa Mara anataka umshikilie anapokwenda chooni, umpikie chakula kwa sababu anadai anasikia kizunguzungu, umwogeshe, umfulie Ch&@i yake, ukitoka kidogo mesegi kibao kwamba umemtelekeza. sasa Ashadii anasema ni kutaka attention mimi kwa uelewa wangu lengo la kudeka ndiyo hilo la kuvuta attention.

Sasa na kulia ndiyo huko tena. Jambo dogo chozi hilo.... Nakubaliana na Tz1 kwamba kama kudeka basi wanawake dekeni wiki mbili baada ya hapo mnakera jamani. Maana wakati mwingine mnaongea au unamwelekeza jambo la maana yeye ghafla anabadili sauti na kuanza kuongea kama mtoto mdogo. Aaargh! Inakera bana.
 
Back
Top Bottom