kwani ndio iwe hivi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kwani ndio iwe hivi?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Linamo, Feb 23, 2011.

 1. Linamo

  Linamo JF-Expert Member

  #1
  Feb 23, 2011
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 9,060
  Likes Received: 21,275
  Trophy Points: 280
  habari JF!
  Kuna jamaa yangu katika harakati za hapa na pale za kjikimu kimaisha amefanikiwa kujenga maeneo ya kawaida...wayaita yasiyopimwa (squator area)
  Kwake imekua kero..mara jirani kaelekeza maji ya chooni upande wake,wanajenga bila kuzingatia huduma muhimu.
  Siku kukitokea zahma kama la g mboto naomba isitokee itakua balaa.
  Amejitahidi kuwafikishia viongozi wa SM lakini ni wababaishaji hata hakuna utatuzi...labda upeo wao ni mdogo kwenye mambo ya kimaendeleo. Sasa amelalamika hadi kwa DC lakini hawajamsaidia kumtatulia kero.
  Anaweza kusaidiwaje?
  Maana naona hawa viongozi wapo kwa shughuli zingine zaidi.
  Namuwakilishia kwenu.
   
Loading...