Kwani mkuu wa mkoa anapaswa kuwa na kiwango gani cha elimu?

Sifa kuu ni kuwa na kadi ya CCM na sifa ya pili ni kuwa Mkuda kwa vyama vya Upinzani, upande wa vyeti kwa cheo cha mkuu wa mkoa ni ruksa kufoji tu, foji hata cha Harvard university hawana mda wa kufuatilia, cha Msingi uwe mkuda kwa wale ambao mkulu atakutuma uwakomoe makusudi.
uwe CCM "die hard"
 
Shaghala baghala mara vyeti feki ,mara askari jeshi,mara division 0,mara watangazaji wa clouds,mara masalia ya waliokosa ubunge ccm,
Upuuzi mtupu
 
Shaghala baghala mara vyeti feki ,mara askari jeshi,mara division 0,mara watangazaji wa clouds,mara masalia ya waliokosa ubunge ccm,
Upuuzi mtupu
Ukikosa ubunge haimaanishi kwamba umepoteza sifa ya kuteuliwa nafasi nyingine
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom