kwani mimi nikikugusa au kukushika mkono unapungukiwa nini?

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,483
54,851
JF member mzima na ukubwa wote unaogopa nisikushike mkono kisa eti kuna watu unaheshimiana nao.wewe ni mpenzi wangu ni haki yangu kukushika mkono,kiuno,kukuwekea mkono begani n.k.sasa kwanini ukubali kutoka na mimi kama unaogopa kukaa na mpezio?sijajua dhamila yako.kama una figganigga mwingine bora useme mapema nisepe.mimi mapenzi ya siri siyawezi.na huu ndo mwanzo ntaendelea kukushika kila ninapojiskia.ujumbe umefika.mia
 
bwana weeh, tangaza nia tu hapo. manake mapenzi yenyewe hayana insurance, usije ukamfanyisha show kila mahali afu ukimuacha kwenye mataa unakua ushamuulia soko!
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom