Kwani mapenzi ni nini na yana nafasi gani katika maisha?

WomanOfSubstance

JF-Expert Member
May 30, 2008
5,457
956
Mapenzi ni dhana pana - hakuna ubishi kwa hilo.Ila naona wakati mwingine baadhi yetu tunachanganya au kushindwa kutofautisha baina ya mapenzi na vitendo au viashiria vya mapenzi.Hii imejitokeza mara nyingi hapa jamvini na hata sasa kuna mada inaendelea kuhusu makabila yanayojua na yasiyojua mapenzi! Hivi kweli binadamu kamili aliyeumbwa na Mwenyezi Mungu anaweza akakosa kujua mapenzi?
 
WOS nilivyona hii mada ikabidi nianze kucheka kwa kujua kwamba Mama Mia amerudi tena na maswali yake ya Research ila nikagundua kumbe ni wee nafikiri utapata majibu yanayostahili. Kwa upande wangu naona Mapenzi yananafasi kubwa sana katika maisha ila sasa kwa jinsi nijuavyo mie kila mwanadamu anauelewa wake juu ya mapenzi na mapenzi ni mchanganyiko wa mambo mengi sana yanayohusisha akili, moyo na mwili hasa kunapokuwa na uwepo wa watu wanaopenda wa jinsi mbili tofauti. Ninabaki kuamini kwamba Duniani hamna mjuzi wa Mapenzi ila kila mwanadamu ni mjuzi wa himaya yake.
 
I am not sure how to approach your question lakini if you do a very very deep in your analysis, utagundua kwamba mapenzi ni human nature ya uchoyo na kutaka kuwa na kitu fulani by yourself; at the same time hata wale walio very successful and committed to their partners kuna wakati huangalia pembeni na kutamani ila tu ni ile staha ya kibinadamu inayobana

Kuhusu nani anajua au nani hajui, nadhani ni ile hali ya kujiexpress na kujitolea zaidi inaoonyesha ubora

Binafsi mapenzi hunisumbua kwani nakuwa somehow possessive and that is bad.... at the same time i take my eyes off the ball sometimes but its personal strength that determines how far down the road one can go!!

all in all, mapenzi ni hulka ya possessiveness tuliyopewa na nafasi yake kubwa iko kwenye positioning yourself in and around your society
 
I am not sure how to approach your question lakini if you very very deep in your analysis, utagundua kwamba mapenzi ni human nature ya uchoyo na kutaka kuwa na kitu fulani by yourself; at the same time hata wale walio very successful and committed to their partners kuna wakati huangalia pembeni na kutamani ila tu ni ile staha ya kibinadamu inayobana

Kuhusu nani anajua au nani hajui, nadhani ni ile hali ya kujiexpress na kujitolea zaidi inaoonyesha ubora

Binafsi mapenzi hunisumbua kwani nakuwa somehow possessive and that is bad.... at the same time i take my eyes off the ball sometimes but its personal strength that determines how far down the road one can go!!

all in all, mapenzi ni hulka ya possessiveness tuliyopewa na nafasi yake kubwa iko kwenye positioning yourself in and around your society

I agree with you on the aspect that love is human nature.... kumpenda mtu wa jinsia tofauti ( mara nyingi na ndio msimamo wangu) na yako katika mahusiano. Mapenzi ya kitu hayo ni tofauti na mapenzi baina ya watu si ndio?
Kuhusu possessiveness hiyo ni kweli ...ni kiashiria cha mapenzi ila hiyo possessiveness nayo ikizidi hupelekea maanguko ( tragedy) maana mtu anakosa tena hata utashi wa kuchora mstari katika hatua anazoweza kuchukua pale anapohisi au kuona penzi lake likidhulumiwa.Possessiveness by itself is not love that is how I see it....ikizidi huwa kero katika mapenzi.Prove me otherwise.
 
I wont prove anything... But i am still very convinced that if we were not possessive, we wouldnt want to have a few special ones around rather we would be in a sharing societies. I was watching discovery channel and noticed how love affects wild animals and its all down to the sense of having something.. we color it love with beautiful faces plus bright souls mates etc. but it is still a possessive nature which makes us fall in love and thats it
 
MTM,
Asante kwa mwanga ulioutoa.
Hii thread ililenga kujaribu kuelewa iweje watu waone kuna makabila yanajua mapenzi na mengine yasiyojua .Kama love ni possessive nature ya kutaka kubinafsisha.... iweje kuwe na makabila yaliyojaaliwa hii hulka zaidi ya wengine? Na je kwa wale wasiojaaliwa wafanye nini?...
 
makabila..mengine...utasikia...yanajua...mapenzi...lakini..sio...kujua..mapenzi..kwenyewe

ila..ni..kuweza..kuonyesha..mapenzi..zaidi.

nafikiri..hii..inatokana..na..malezi..ya..tokea..utotoni..na..mafunzo..ya..kuonyesha..

mapenzi..kwa..mama,baba,kaka,dada..na..ndugu..wengine.

pia..wanajifunza..kuonyesha..mapenzi..kama..wanavyoona..wazee..wao..wanavyofanya

uonyeshaji..wa..mapenzi..katika..makabila..unatofautiana.
 
mhhhhhhhhhhhh.ma expert wa mapenzi wengi wao wako single.wizi mtupu.
 
usidanganyike mapenzi hayana kujua kutokana na kabila,fahamu mapenzi ni sanaa na sanaa hutofautiana baina ya makabila na hata mataifa.Wahindi,wazungu au Waarabu wana tamaduni na aina tofauti ya kufanya mapenzi kadhalika Waafrika tuna zetu na zintofautiana kufuatana na ukanda au eneo.Ukimleta Mzungu au mhindi ukampa demu wa Kimakonde atashangaa hamna romance na akiingia ni kama amewasha feni hayo mauno,na ukimpeleka mmakonde india au ulaya naye atakuambia demu anachelewa kumpa mzigo kwa kushikana na akimpa analala kama gogo.Hivyo jua hamna kabila lisilojua mapenzi inategemea unataka aina gani ya sanaa ya mapenzi ya kipwani,kizungu,kibara n,k. na kuthibitisha kwamba ni sanaa wadada siku hizi wamekuwa wabunifu hujifunza kuendana na mwenza aliye naye au sehemu anayoishi ili asipoteze umaarufu au kukosa soko ndiyo utaona siku hizi dada zetu wachaga na wahaya waongoza kwa shanga na kuzungusha kiuno wakati si asili yao hata wapare wamo siku hizi.
 
ni kweli mapenzi watu hufundishwa especially wadada wa pwana ili kumfanya jamaa asitoke nje ya ndoa
 
ni kweli mapenzi watu hufundishwa especially wadada wa pwana ili kumfanya jamaa asitoke nje ya ndoa

Wameshafanya tathmini kuona kama kweli hili lengo linafanikiwa?
Huu ni upuuzi... ni sawa na wale wanaokeketa wanawake kwa kusingizia ati wasiokeketwa hawaolewi.Hapohapo wanaume waliooa waliokeketwa hutafuta wasikeketwa.In short human nature is such that kutafuta vionjo tofauti ni jambo lisiloepukika hata wafundishwe vipi.Cha msingi mwanamke naye asijilazimishe kufanya vitu hata asivyotaka akifikiria atamdhibiti mwanaume.

Na je wanaume huwa wanawaza kuwadhibiti wake zao kwa kuwafanyia mambo mbalimbali ? Ingependeza kupata maoni kwenye hili maana wengi hawataki hata kufikiria kuwa wake zao wanaweza kurubuniwa na wanaume wengine.
 
jamani kwa mfano tu ngoja niulize katika Topic hii hii
watu huongelea sana ooh wanyamwezi,watanga,Wanyaturu sijui na wamakonde wanajua sana mapenzi ...wakikujukulia pima joto yako huipati
ina maana ni shughuli wakiwa kwenye 6 x6 or Mapenzi + upendo wa kweli kumjali na kumtumiakia mwenzi wako na kumuheshimu nk nk ???
 
FL1 hiyo red sina hamu. Lol! Nilikuwa nimechomekea shati, nimelazimika kuchomoa.
 
MTM,
Asante kwa mwanga ulioutoa.
Hii thread ililenga kujaribu kuelewa iweje watu waone kuna makabila yanajua mapenzi na mengine yasiyojua .Kama love ni possessive nature ya kutaka kubinafsisha.... iweje kuwe na makabila yaliyojaaliwa hii hulka zaidi ya wengine? Na je kwa wale wasiojaaliwa wafanye nini?...

WOS, nilikuwa napitia thread uliyoanzisha. it was real gud and generated very useful discussion.
congrat!
 
Back
Top Bottom