Kwani lazima kununua used car kutoka Japan?

BABA TUPAC

JF-Expert Member
Sep 30, 2015
1,526
3,801
Naomba kuuliza hivi ni kwanini watu wengi wakiwa wananunua magari wanaagiza Japan?

Kama ni kununua gari mpya (Toyota) si vibaya kununua Japan kwakuwa ndipo kiwanda chao kilipo hivyo bei itakuwa chini kidogo lakini hata used? used hata Ujerumani si zipo, ufaransa, uingereza nk

Kwanini tusiagize huko? je kwanini watu wanapenda Japan? kuna faida yoyote ile? au ukiagiza toka Japan kodi yake ni ndogo si sawa na ukiagiza kutoka nchi za ulaya?
 
Jibu ni maswali ya para yako ya mwisho!Mengi ya magari ya Japan ni user friend barani Africa. Yale ya Kijapan yaliyoko Ulaya ni kwa ajili ya huko, na hivyo bei ni kubwa!
 
Mkuu garama za usafirishaji na exchange rate inaathiri watu wasiagize magari nje ya japan japokuwa unaweza kuta gari uk ni bei rahisi na ni bora kuliko za mjapani, pia kuna tatizo la spea parts na gharama zake ni ghali ukicompare na za japan, akini ni hivyo tu, na mazoea nayo yanachangi, ndio maana ukimwambia mtu gari kama nissani ni bora zaidi ya toyota kuanzia design had spea anakubishia maan anaamini toyota ndio gari,na ndio maaa wabongo wananunua gari saresare,mji mzima ujeaa ist kwa sasa na passo.ukiwaambia nunua ford focus au honda civic, au mazda sport atenza hawakuelewi au nissan note watakuambia gari bovu hizo
 
Gharama za magari yenyewe na usafirishaji pia upatikanaji wa spea, hata hivyo mindset nayo watu wamesha kariri ni Japan tu
 
Mkuu garama za usafirishaji na exchange rate inaathiri watu wasiagize magari nje ya japan japokuwa unaweza kuta gari uk ni bei rahisi na ni bora kuliko za mjapani, pia kuna tatizo la spea parts na gharama zake ni ghali ukicompare na za japan, akini ni hivyo tu, na mazoea nayo yanachangi, ndio maana ukimwambia mtu gari kama nissani ni bora zaidi ya toyota kuanzia design had spea anakubishia maan anaamini toyota ndio gari,na ndio maaa wabongo wananunua gari saresare,mji mzima ujeaa ist kwa sasa na passo.ukiwaambia nunua ford focus au honda civic, au mazda sport atenza hawakuelewi au nissan note watakuambia gari bovu hizo
Toyota Land cruiser vx v8 new model ni Magari ya hovyo kabisa na si salama. Vx alilokuwemo mama Kijo Bisimba liligongwa likiwa limesimama na likapinduka. Liligongwa likiwa limesimama na haliko kwenye mwendo, likapinduliwa na vitz. Vitz ikabaki imara na ikakimbia baada tukio hilo, vx ikaharibika vibaya mno
 
Gari ni spare parts na kwa gari za Japan spare zake ni available . Pili bei za Japan kidogo ni tahfif
 
Back
Top Bottom