matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 6,576
- 15,337
Mjadala huu naona kama hauna nguvu sana kimantiki.
Labda kama kuna jambo kubwa hapo ameondolewa ili asiliibue lkn sijaona.
Vinginevyo sioni tofauti kama angeondoka miaka miwili ijayo na hiki kilichotokea leo.
Ila Nitakachokikumbuka...
1: Ndio CAG aliyefanya kazi kiasi cha kufanya neno CAG kujulikana hata na wasiofuatilia mambo.
2: Anaondoka akiwa ameibua mambo mengi makubwa ambayo yanamtosha kupumzika akiicha historia itoe hukumu.
3: Ameondoka niliwa natamani angekuwa ndio anaingia, Alikuwa Imara kuliko kiongozi wowote wa kisiasa au kiselikali ambaye nimewahi kumuona au kumsikia nchini. Msimamo wa chuma.
Kukubwa tuache hisia kali za kisiasa na kushuku bila ushahidi, Tumuache huyu aliyeingia wenda akaanza na ukaguzi wa manunuzi ya ndege zetu njema tunazojivunia.
Mungu Mbariki Prof Assad
Mungu Ibariki Tanzania.
Ameondoka kiharamu au kihalali hiyo sio hoja, maana nimefuatilia minyukano ya kisheria humu nimeona kama Mizani imebalance pote. Nimebaki natangatanga nishike kipi nimeamua kumpongeza tu Prof Assad kwa utumishi mtukufu.