Kwani Kikwete anasemaje kuhusu Masheikh wa Uhamsho?Hakuna jambo alielekeza wakati akiwa madarakani?

Beatrice Kamugisha

JF-Expert Member
May 18, 2019
762
6,980
Mashekhe wa Uhamsho wamekaa ndani kwa tawala za Marais watatu mfulululizo. Lakini taasisi ya urais urithishana baadhi ya mambo. Mfano Jk alimwekea ngumu Babu Sea lakini JPM alipoingia akamwachia. Jpm ALIKUWA na kesi nyingi za uhujumu uchumi ambazo Rais aliyepo Sasa anaona nyingi hazikuwa na mashiko.

Lakini pia yapo Mambo Marais wote ukubaliana na hayo ubaki bila kubadilika. Ni kwa mazingira hayo napenda kuuliza JK ambaye utawala wake ndio waasisi wa kesi hii ya Uhamsho aliacha husia gani huko Ikulu hadi kesi hii inakaa miaka yote bila kusikilizwa? Je, haoni kama Jambo ilo kwa Sasa linautesa moyo wake na kwa kuzingatia ushawishi wake kisiasa anao uwezo wakujadiliana na Rais aliyepo wakayamaliza?

Mahakama naamini inasubiri tu tamko ya serikali ambalo ni final. Jk tamka neno wenzetu Hawa wawe huru ubarikiwe. Vinginevyo sema neno kesi isikilizwe Wapewe haki wanayostahili kukaa mahabusu na kila siku Jambo hili kujirudia.

Yapo mambo katika dunia hii ukiweza kuyaachia yakupe amani unapaswa kuyaachilia. Naamini kibinadamu JK na familia yake inapotamkwa hii kesi uwafanya wakose amani ........tuliponye Taifa.
 
Yangu ni hayo tu
 
Mashehe wa uhamsho Kikwete aje ajibu aache uhuni yeye ndiye aliwafunga

Magufuli asilaumiwe kwa haya wala Mama asilaumiwe kwa haya

Ila mama kwa sasa anayo power ya kuitaka Jamuhuri iseme kama imeshindwa kuendelea na kesi waachiwe.
 
Mashekhe wa Uhamsho wamekaa ndani kwa tawala za Marais watatu mfulululizo. Lakini taasisi ya urais urithishana baadhi ya mambo. Mfano Jk alimwekea ngumu Babu Sea lakini JPM alipoingia akamwachia. Jpm ALIKUWA na kesi nyingi za uhujumu uchumi ambazo Rais aliyepo Sasa anaona nyingi hazikuwa na mashiko.

Lakini pia yapo Mambo Marais wote ukubaliana na hayo ubaki bila kubadilika. Ni kwa mazingira hayo napenda kuuliza JK ambaye utawala wake ndio waasisi wa kesi hii ya Uhamsho aliacha husia gani huko Ikulu hadi kesi hii inakaa miaka yote bila kusikilizwa? Je, haoni kama Jambo ilo kwa Sasa linautesa moyo wake na kwa kuzingatia ushawishi wake kisiasa anao uwezo wakujadiliana na Rais aliyepo wakayamaliza?

Mahakama naamini inasubiri tu tamko ya serikali ambalo ni final. Jk tamka neno wenzetu Hawa wawe huru ubarikiwe. Vinginevyo sema neno kesi isikilizwe Wapewe haki wanayostahili kukaa mahabusu na kila siku Jambo hili kujirudia.

Yapo mambo katika dunia hii ukiweza kuyaachia yakupe amani unapaswa kuyaachilia. Naamini kibinadamu JK na familia yake inapotamkwa hii kesi uwafanya wakose amani ........tuliponye Taifa.
Weka kwanza kumbukumbu sawa babu sea alihukumiwa kifungo mwaka 2004 kipindi hicho Jk alikua wazir wa mambo ya nje, kwa hiyo kama ni kufungwa alifungwa na raisi aliyekuwepo madarakani wakati huo.
 
Mimi nafikiri hawa jamaa wana kesi ya Uhaini kujibu maana kesi yao haijaamliwa!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom