Kwani katazo la mikutano ya kisiasa Zanzibar haihusiki? Naona Zitto anajideula tu mitaa ya Zenji

Kuna Watu wa ' Upinzani ' nchini Tanzania wanadhani Mtu mmoja ni Mwenzao na wanamuamini kwa 99% hadi wanamkaribisha ' Jikoni ' Kwao ila wangejua kama kuna Mtu ambaye ndiyo anawaumiza na anawachuuza huku akiwasanifu ni ' Mtu Fulani ' hivi na mpaka wakija Kumshtukia nina uhakika watakuwa wameshapotea na kuvurugika kabisa. Naomba niishie hapa tafadhali.
Mkuu wameshaanza kujipa moyo eti Znz inajitegemea, hawamjui Zitto vizuri. 2020 ndo watamfahamu vizuri. Na niliwauliza 2015 ACT ilitoa wapi Ela za kampeni?, Mpaka Sasa hivi sijapata jibu. Wajinga ndio waliwao.
 
Kuna Watu wa ' Upinzani ' nchini Tanzania wanadhani Mtu mmoja ni Mwenzao na wanamuamini kwa 99% hadi wanamkaribisha ' Jikoni ' Kwao ila wangejua kama kuna Mtu ambaye ndiyo anawaumiza na anawachuuza huku akiwasanifu ni ' Mtu Fulani ' hivi na mpaka wakija Kumshtukia nina uhakika watakuwa wameshapotea na kuvurugika kabisa. Naomba niishie hapa tafadhali.
Ha ha Baba chipa your in shock alit ukija kwa Jakaya kwa Nyie washamba endeleeni kulia mchezo mkali mumechezewa hamkutegemea
 
Tuambie hapo vipeeeee?
Naomba tu kaufafanuzi lile katazo la mikutano ya kisiasa ni kwa Tanganyika tu au linafika hadi Unguja na Pemba?

Ahsanteni
Maendeleo hayana vyama!
FB_IMG_1551869517984.jpeg

In God we trust
 
Sehemu gani tena nyingine ya Tanzania ina Rais wake kama Zanzibar?

Loyalty To country Alyways,To government When it deserves
Msiwe wageni wa mambo. Hii ni zuga tangu kipindi cha Mwl Nyerere, uraisi wa Shein hautambuliki popote Duniani, hata UN hawamtambui kama Raisi ndo maana huwa haendi popote kama raisi. Zanzibar haina jeshi, haina uwakilishi popote duniani.Ilikuwa ni njia aliyoitumia Nyerere kuwatawala wa Znz Smoothly nao wakaingia mkenge. Raisi wa Zanzibar ni kama pambo tu. Umewahi kusikia Znz ina balozi nchi fulani?,.. Raisi wa Jamhuri ya Muungano ( Znz ikiwemo)ni JPM, jeshi ni moja tu la JWTZ.Hii topic ni pana ifatilie utaelewa tu.
 
Zanzibar ni Nchi wana Katiba yao
Zanzibar sio nchi, haitambuliki UN wala popote, nchi ni TanZanIa(Tanganyika + Zanzibar), hata Raisi wa Znz hatambuliki popote Duniani. Nyerere aliwaongopea wa Znz ili kuwatawala kirahisi.Umewahi kusikia balozi wa Znz nchi yoyote Duniani?, Umewahi kusikia Raisi wa Zanzibar atembelea nchi fulani Kama Raisi?.. Yule ni raisi mapambo tu(geresha). Fatilia vizuri utaelewa.
 
Haujui kama zanzibar ni nchi inajitegemea

Sent using Jamii Forums mobile app

Back
Top Bottom