Kwani kampeni bado zinaendelea???

nkuwi

JF-Expert Member
Feb 11, 2013
4,801
5,344
Kichwa cha habari chahusika!

Toka juzi, jana na leo hapa GEITA MJINI kuna gari la matangazo linapita mitaani kutangaza na kualika watu kwenye mkutano wa hadhara wa MAMA SAMIA SULUHU hapo kesho!!

Wanatangaza kuwa wananchi wajitokeza kwa wingi kwani kutakuwepo na burudani za kutosha kutoka BONGO FLEVA, BONGO MOVIEE, NA WACHEKESHAJI MBALIMBALI MAARUFU!

Pia wanasema watakuwepo mawaziri wengi sqna wa serikali ya magufuli..

sasa mm nashaangaa misururu yote hiyo ya nn?? kwan kampeni bado zinaendelea??? hawa wote wanalipwa na kifungu kipi??? kilichopitishwa na bunge lipi???
 
Hupaswi kujibiwa
 
Back
Top Bottom