Kwani haya mapenzi yamelaaniwa?

ladysha

Senior Member
May 29, 2013
156
28
Wanasema yalianza na adamu na hawa au eva ina maana hata wao waliumizana,na walikua wawili au yaliletwa tujaze dunia na siyo kuyafurahia me sielewi maana imekua fujo uongo na kumizana au wenzangu kwenu ikoje me naona mizinguo tu kili sm kumi za marafiki zangu nane zote wanalalamikia kutendwa jamani vipi?
 
ukiumizwa we kaa pemben tu, maana mungu nae anakana kwamb hakukosana na akina hawa ksa ki papuch walichlamba!
 
wenzangu kwenu ikoje me naona mizinguo tu, kila simu kumi za marafiki zangu nane zote wanalalamikia kutendwa jamani vipi?

Tuliza ball kijana mapenzi ni sawa na maisha yako ya humu Jf. Yanahitaji hekima,upendo na uvumlivu wa hali ya juu ili kuweza kuziepuka BAN.
 
Raha jipe mwenyewe tatizo mnafall in love na masharoharo lazima muumizwe,ila waonekana uko stil young focus on ur studies build ur future hzo mb.o zipo 2
 
Nimejifunza kupenda nijipende mimi kwanzaa.....people come en go like seasons!!
 
hayo ni ya kuvumilia tu kwani malove yamekuwa kama barabara ya dar mbeya ajali kibao na milima yakutosha vumilia
 
Kama conclusion yako imetegemea marafiki zako basi inabidi tuanze kwa kujua tabia, mienendo ya marafikizo.
 
Hii ni kama laana mungu nisamehe kama nakufuru 7bu hata adam na hawa waliambiwa wasile tunda na wakala na kujikuta ktk hali za kutamaniana na ukiingia ktk mapenzi utajikuta unapata majaribu mengi cha msingi ni kuwa mvumilivu
 
Wanasema yalianza na adamu na hawa au eva ina maana hata wao waliumizana,na walikua wawili au yaliletwa tujaze dunia na siyo kuyafurahia me sielewi maana imekua fujo uongo na kumizana au wenzangu kwenu ikoje me naona mizinguo tu kili sm kumi za marafiki zangu nane zote wanalalamikia kutendwa jamani vipi?

hao hawajatendwa bwana wamejitenda wenyewe. mbona wanawake mnataka always kulaumu wanaume for ur own stupidity
 
Raha jipe mwenyewe tatizo mnafall in love na masharoharo lazima muumizwe,ila waonekana uko stil young focus on ur studies build ur future hzo mb.o zipo 2

raha huwezi jipa mwenyewe bwana wewe ndioo maana m.boo na kma zipo
 
a lot of stupidity and lucky of focus ya maisha na kutomtegemea mungu nd kunatukosti. tunaamini njia tupitazo zitafukiwa na mchanga.
 
mapenzi ni matamu sana na hakuna kutendwa kama wewe mwenyewe anakupenda toka rohoni na mpenzi wako anakupenda toka rohoni mwake. mapenzi ni mateso kwasababu hamfuati sheria za mapenzi , mapenzi yapo katika roho na sikatika mwili.mapenzi mimateso kwa sababu watu wanatamaniana kimwili na hawapendani kiroho.
 
Wanasema yalianza na adamu na hawa au eva ina maana hata wao waliumizana,na walikua wawili au yaliletwa tujaze dunia na siyo kuyafurahia me sielewi maana imekua fujo uongo na kumizana au wenzangu kwenu ikoje me naona mizinguo tu kili sm kumi za marafiki zangu nane zote wanalalamikia kutendwa jamani vipi?

Inategemea umeingiaje huko kwenye mapenzi, nani alikwambia kuwa unaweza kuvuna mahindi kwenye shamba la miba? Au unaweza kupana vipi meli ukiwa airport? Fanya chaguo sahihi, mahali sahihi na kwa wakati sahihi, Tafakari na kisha chukua hatua!!!
 
Back
Top Bottom