Kwani hasa huanza vipi?

Ngekewa

JF-Expert Member
Jul 8, 2008
7,705
1,288
Hili hasa kwenu kina dada! Tayari unae unaempenda ambaye umemchaguwa mwenyewe kwa vigezo vyote. Taratibu unahilibika na mwengine! Huanzaje???
 
Kama ulichokuwa unampendea kimeota mbawa eg pesa,umaarufu,inabidi uondoke bila taarifa,kwani ninyi wasichana mnapendaga kweli?
 
hili hasa kwenu kina dada! Tayari unae unaempenda ambaye umemchaguwa mwenyewe kwa vigezo vyote. Taratibu unahilibika na mwengine! Huanzaje???

onja onja ndio huwaponza
sasa utamu wa kibuyu kingne unapozidia kunakuwa hakuna jins tena zaid ya kuhamia moja kwa moja
 
Kama ulichokuwa unampendea kimeota mbawa eg pesa,umaarufu,inabidi uondoke bila taarifa,kwani ninyi wasichana mnapendaga kweli?

Hivyo kuna wakati utasema kuwa fulani ametimia kuliko watu wote?

Halafu nahisi kama unafikiri kuwa mimi ni mwanamke, la nina bakora, tena safi sana tu!
 
Lakini si vizuri kwa binaadamu kuwa na hadhari na vitu vyenye madhara? Na kwanini udadisi uwe kwenye swala la mapenzi tu?

SASA SI UTAMU??

KWANI WE HUJUI YA KWAMBA BINADAM TUNAPENDA VITU VITAM VITAM...!!
:mimba::mimba:
 
Nakubaliana nawe kuwa tunapenda vitamu lakini kilichokitamu zaidi huwa hatutaki kitutoke, sasa tunapokichezea si tunaweka rehani tunachokipenda zaidi.
Hata hivyo huwa najiuliza huwa dada zetu vipi huwa wanaanza kwenda nje ya uhusiano?
 
NGEKEWA NDUGU YANGU NDIO KWA MAANA NIKAKUJIBU,,UTAMU UMEZIDIA

JINS ANAPOONJA UTAMU ANAHISI YA KWAMBA KUNA KUNA UTAMU MWINGNE ZAIDI YA ULE WA MWANZO

CHANZO KIKUU CHA HAYO YOTE NI UTAMU,,UTAMU UTAMUU

I MEAN UMATE UMATE

:madgrin: :madgrin:
 
Du hasara yao basi kwani mara nyingi kinachofuata ni kilio.

Big Show naona wenyewe hawafunguki bila shaka quilty consciuos inawala!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom