Hili hasa kwenu kina dada! Tayari unae unaempenda ambaye umemchaguwa mwenyewe kwa vigezo vyote. Taratibu unahilibika na mwengine! Huanzaje???
hili hasa kwenu kina dada! Tayari unae unaempenda ambaye umemchaguwa mwenyewe kwa vigezo vyote. Taratibu unahilibika na mwengine! Huanzaje???
onja onja ndio huwaponza
sasa utamu wa kibuyu kingne unapozidia kunakuwa hakuna jins tena zaid ya kuhamia moja kwa moja
"UNAHILIBIKA" unamaanisha nn?
Kama ulichokuwa unampendea kimeota mbawa eg pesa,umaarufu,inabidi uondoke bila taarifa,kwani ninyi wasichana mnapendaga kweli?
kwanini unaonja kitu huku ukijuwa kuwa kina madhara ya baadae?
binadam tumeumbwa na hulka ya udadisi udadisi sana mkuu..
Lakini si vizuri kwa binaadamu kuwa na hadhari na vitu vyenye madhara? Na kwanini udadisi uwe kwenye swala la mapenzi tu?
SASA SI UTAMU??
KWANI WE HUJUI YA KWAMBA BINADAM TUNAPENDA VITU VITAM VITAM...!!
:mimba::mimba:
Nakubaliana nawe kuwa tunapenda vitamu lakini kilichokitamu zaidi huwa hatutaki kitutoke, sasa tunapokichezea si tunaweka rehani tunachokipenda zaidi.
Hata hivyo huwa najiuliza huwa dada zetu vipi huwa wanaanza kwenda nje ya uhusiano?
NGEKEWA NDUGU YANGU NDIO KWA MAANA NIKAKUJIBU,,UTAMU UMEZIDIA
JINS ANAPOONJA UTAMU ANAHISI YA KWAMBA KUNA KUNA UTAMU MWINGNE ZAIDI YA ULE WA MWANZO
CHANZO KIKUU CHA HAYO YOTE NI UTAMU,,UTAMU UTAMUU
I MEAN UMATE UMATE
:madgrin: :madgrin: