Kwani demokrasia ni kuchagua wabunge wa CHADEMA na ACT-Wazalendo?

Mchange njaa inamsumbua sana huyu jamaa. Hanaga msimamo. Alipoondoka ACT alitangaza hadharani kwamba hataki kujihusisha na siasa, lakini njaa inamtesa.

Hana mbele wala nyuma, analazimika kuwa malaya wa kisiasa.
Ndo umeandika nini sasa?
 
Tukirejea katika Bunge lililopita, laiti vyama vya Upinzani vingekuwa na Wabunge wengi, huenda wangefanikiwa kuishinikiza Serikali ifanye "lockdown" jambo ambalo kama ilivyotokea kwa nchi jirani lingepelekea mateso makubwa kwa mamilioni ya wananchi. Kwa kuzingatia ukweli kuwa uchaguzi huu umefanyika katika mazingira ya COVID 19 duniani, haikwepeki kuwa uchaguzi uliopita ulikuwa ni kipimo cha uongozi.

Kama inavyoeleweka, nyakati za majaribu ni nyakati za uongozi. Watu ama hubadilisha uongozi kwa kutafuta jemadari mpya, ama huwekeza imani zaidi kwa jemadari aliyepo anayefanya vizuri.

Watanzania wameling'amua hilo-na wamejibu katika sanduku la kura kuizawadia CCM ushindi wa kishindo. Haishangazi pia kuwa Serikali zilizoshindwa kuendesha mapambano haya kwa ufanisi- zimeadhibiwa na wapiga kura. Siku chache zijazo tutaona yatakayotokea katika uchaguzi wa Marekani. Laiti Kenya ingefanya uchaguzi mwaka huu, Rais Uhuru Kenyatta na Chama chake Jubilee wangeanguka vibaya sana.View attachment 1617270
Msitegemee huyo dictator uchwara atarudisha mtandao na huku mnataka kuandamana, tunzeni VPN Zenu vizuri. Na 2025 Anagombea tena tusipomfunga brake now.
 
Ni wapumbavu na wajinga pekee watakaokubaliana na matokeo ya uchaguzi huu,huyo Machage na Mpuuzi mwenzake ni wasaka tonge tu,hii nchi CCM imechokwa ila wanalazimisha tu ,wanaotetea udhalimu uliofanywa na NEC kuipa ushindi CCM ni wale wenye maslahi na hiki chama na si mamilioni ya Watanzania walioteseka chini ya CCM kwa zaidi ya miaka 50.
 
Wakuu
Nimebahatika kuangalia video clip kuhusu kinachoendelea katika harakati za uchaguzi

Leo Habibu Mchange, Abdallah Mtolea na wenzao wamefanya press conference.

Katika machache niliyoyanyaka ni pamoja na haya niliyoweka katika VIDEO

View attachment 1617272
View attachment 1617271
Hakika Demokrasia Sio Wao kushinda tu..... Korona tu imetosha kuwapiga Kifo Cha Mbwa mwizi na koko..achana na Maflaying over, achana na Ubungo interchange, achana na Bwawa la Umeme la Nyerere....nk Ila Ngebe zikewaisha na Makelele Yalikuwa Mengi Sana....... TWENDE NA JPM WETU.
 
Mtandao bado unasumbua na video inakata mno ila nataka nizungumzie kuhusu lockdown.
Katika magonjwa ya milipuko kuna namna nyingi za kukabiliana na majanga haya.Wale wenye umri mkubwa mwaka 1978/79 kipindupindu kiliingia nchini kikianzia delta za mto Rufiji.Serikali ilikana kuwa ni kipindupindu na ulitangazwa kama ugonjwa wa kuhara na kutapika.Wakati tunajipanga kikaingia Dar,kikapanda treni na mabus na kwa kipindi kifupi ikiwa kimetapakaa nchi nzima.Juhudi za kupambana nacho ilikuwa ni pamoja na kuweka road blocks kiasi ambacho mtu hawezi toka kijiji kimoja kwenda kingine na njia nyingine kama hizo.Leo outbreak ya kipindupindu hatufanyi hivyo tena.

Corona ni ugonjwa mpya na technolojia illiruhusu tuone yaliyotokea China na tukapata nafasi ya kujiandaa kwa kiasi.Serikali na wataalamu wake iliamua kutokuweka lockdown huku ikisimamia njia nyingine kama kupunguza misongamano,sanitizer/hand washing facilities na kutenga hospitali maalum.Pamoja na hatua hizo lakini watu walikufa kwa wingi mpaka ikafikia mazishi ya usiku.
Kwa kutokuweka lockdown inawezekana watu wameambukizana na kujenga kinga (herd immunity) au waliombukizwa wamekwisha na hakuna tena index case.

Waliokuwa wanahubiri lockdown walikuwa na nia njema na walioamua kuwa tuachie vilevile nao walikuwa na nia njema.Shida ni kuliweka hili jambo kisiasa zaidi,suppose hatua iliyochukuliwa ingesababisha maafa yaendelee j,je bado watu wangesifia?

Tutakuwa salama zaidi ikiwa tutapima watu na kujiridhisha ya kuwa ugonjwa hakuna na tusisahau kitu kinaitwa "second wave",virus bado vipo duniani.
Jiji la Dar kabla ya corona kwa siku lilikuwa na misiba ya watu wangapi? Baada ya corona kuingia wakaandaliwa watu maalum kwa ajili ya kufanya maziko kuepusha usambaaji zaidi. Hata jirani yako asubuhi ukaona haamki kumbe Mungu kamchukua tu kiumbe wake tuliambiwa tusiwashike maiti bali tuwapigie simu wahusika na wao walikuwa wanakuja wamevalia mavazi yao rasmi. Sasa sisi tukiwaona watu hao kazini tunajua tu ni corona kumbe siyo.

MAGUFULI4LIFE.
 
Tukirejea katika Bunge lililopita, laiti vyama vya Upinzani vingekuwa na Wabunge wengi, huenda wangefanikiwa kuishinikiza Serikali ifanye "lockdown" jambo ambalo kama ilivyotokea kwa nchi jirani lingepelekea mateso makubwa kwa mamilioni ya wananchi. Kwa kuzingatia ukweli kuwa uchaguzi huu umefanyika katika mazingira ya COVID 19 duniani, haikwepeki kuwa uchaguzi uliopita ulikuwa ni kipimo cha uongozi.

Kama inavyoeleweka, nyakati za majaribu ni nyakati za uongozi. Watu ama hubadilisha uongozi kwa kutafuta jemadari mpya, ama huwekeza imani zaidi kwa jemadari aliyepo anayefanya vizuri.

Watanzania wameling'amua hilo-na wamejibu katika sanduku la kura kuizawadia CCM ushindi wa kishindo. Haishangazi pia kuwa Serikali zilizoshindwa kuendesha mapambano haya kwa ufanisi- zimeadhibiwa na wapiga kura. Siku chache zijazo tutaona yatakayotokea katika uchaguzi wa Marekani. Laiti Kenya ingefanya uchaguzi mwaka huu, Rais Uhuru Kenyatta na Chama chake Jubilee wangeanguka vibaya sana.View attachment 1617270

Hii ndio demokrasia yenu?
 
Tukirejea katika Bunge lililopita, laiti vyama vya Upinzani vingekuwa na Wabunge wengi, huenda wangefanikiwa kuishinikiza Serikali ifanye "lockdown" jambo ambalo kama ilivyotokea kwa nchi jirani lingepelekea mateso makubwa kwa mamilioni ya wananchi. Kwa kuzingatia ukweli kuwa uchaguzi huu umefanyika katika mazingira ya COVID 19 duniani, haikwepeki kuwa uchaguzi uliopita ulikuwa ni kipimo cha uongozi.

Kama inavyoeleweka, nyakati za majaribu ni nyakati za uongozi. Watu ama hubadilisha uongozi kwa kutafuta jemadari mpya, ama huwekeza imani zaidi kwa jemadari aliyepo anayefanya vizuri.

Watanzania wameling'amua hilo-na wamejibu katika sanduku la kura kuizawadia CCM ushindi wa kishindo. Haishangazi pia kuwa Serikali zilizoshindwa kuendesha mapambano haya kwa ufanisi- zimeadhibiwa na wapiga kura. Siku chache zijazo tutaona yatakayotokea katika uchaguzi wa Marekani. Laiti Kenya ingefanya uchaguzi mwaka huu, Rais Uhuru Kenyatta na Chama chake Jubilee wangeanguka vibaya sana.View attachment 1617270
 
Hakika Demokrasia Sio Wao kushinda tu..... Korona tu imetosha kuwapiga Kifo Cha Mbwa mwizi na koko..achana na Maflaying over, achana na Ubungo interchange, achana na Bwawa la Umeme la Nyerere....nk Ila Ngebe zikewaisha na Makelele Yalikuwa Mengi Sana....... TWENDE NA JPM WETU.
JPM amefanya makubwa sana ya maendeleo na hilo halina ubishi.Shida kubwa ni kutokujifunza kwa wengine.Hatujawahi kuwa na uchumi kama wa Libya,hatujawahi kuwa na miundo mbinu ya kiuchumi kama Libya,hatujawahi kuwajali wananchi kama Gadafi alivyofanya.Tujiulize "kwa nini Gadafi aliangushwa?Jibu ni moja,kuminya uhuru wa watu na hapa ndipo lilipo kosa la JPM wetu mpenzi.Aruhusu watu wapumue,vyama vya upinzani visiwe vya kuvizia na kupeleleka mahakamani kila kukicha.Asiamini sana katika nguvu bali hoja na ushawishi.Asikubali kuzungungukwa na wanaomsifia tu nala mwisho ajiepushe kupambana na mataifa makubwa kwa kadri iwezekanavyo.
 
Back
Top Bottom