Kwani demokrasia ni kuchagua wabunge wa CHADEMA na ACT-Wazalendo?

Tukirejea katika Bunge lililopita, laiti vyama vya Upinzani vingekuwa na Wabunge wengi, huenda wangefanikiwa kuishinikiza Serikali ifanye "lockdown" jambo ambalo kama ilivyotokea kwa nchi jirani lingepelekea mateso makubwa kwa mamilioni ya wananchi. Kwa kuzingatia ukweli kuwa uchaguzi huu umefanyika katika mazingira ya COVID 19 duniani, haikwepeki kuwa uchaguzi uliopita ulikuwa ni kipimo cha uongozi.

Kama inavyoeleweka, nyakati za majaribu ni nyakati za uongozi. Watu ama hubadilisha uongozi kwa kutafuta jemadari mpya, ama huwekeza imani zaidi kwa jemadari aliyepo anayefanya vizuri.

Watanzania wameling'amua hilo-na wamejibu katika sanduku la kura kuizawadia CCM ushindi wa kishindo. Haishangazi pia kuwa Serikali zilizoshindwa kuendesha mapambano haya kwa ufanisi- zimeadhibiwa na wapiga kura. Siku chache zijazo tutaona yatakayotokea katika uchaguzi wa Marekani. Laiti Kenya ingefanya uchaguzi mwaka huu, Rais Uhuru Kenyatta na Chama chake Jubilee wangeanguka vibaya sana.
 
Wakuu
Nimebahatika kuangalia video clip kuhusu kinachoendelea katika harakati za uchaguzi

Leo Habibu Mchange, Abdallah Mtolea na wenzao wamefanya press conference.

Katika machache niliyoyanyaka ni pamoja na haya niliyoweka katika VIDEO

Lockdown na wizi wa kura vina uhusiano gani? Njaa mbaya Sana!!

Kama huyo anayesifiwa kutokuweka lockdown aliwafurahisha watanzania, kwann kaamua kujipigia kura feki??

Angeacha sanduku la kura liamue aone.
HOVYOOOOOO, PUMBVU WEWEEE
 
Waliwatumikisha babu zako kama watumwa wakawalimisha mashamba huko magharibi na sasa wamekurudia mjukuu na wewe wanakutumikisha ili uwafikishe sehemu fulani.
i). Je, kadri demokrasia ya vyama vingi inavyozidi kuenea mataifa mbalimbali ni nani anayenufaika?
ii). Je, kwakumjua mnufaika huoni unaikanyaga ardhi yako kupigania maslahi ya taifa la wenzio?
iii). Je, kwakuujua werevu utajilazimisha kuendelea kuufanya ujinga?

MAGUFULI4LIFE.
 
Tukirejea katika Bunge lililopita, laiti vyama vya Upinzani vingekuwa na Wabunge wengi, huenda wangefanikiwa kuishinikiza Serikali ifanye "lockdown" jambo ambalo kama ilivyotokea kwa nchi jirani lingepelekea mateso makubwa kwa mamilioni ya wananchi. Kwa kuzingatia ukweli kuwa uchaguzi huu umefanyika katika mazingira ya COVID 19 duniani, haikwepeki kuwa uchaguzi uliopita ulikuwa ni kipimo cha uongozi.

Kama inavyoeleweka, nyakati za majaribu ni nyakati za uongozi. Watu ama hubadilisha uongozi kwa kutafuta jemadari mpya, ama huwekeza imani zaidi kwa jemadari aliyepo anayefanya vizuri.

Watanzania wameling'amua hilo-na wamejibu katika sanduku la kura kuizawadia CCM ushindi wa kishindo. Haishangazi pia kuwa Serikali zilizoshindwa kuendesha mapambano haya kwa ufanisi- zimeadhibiwa na wapiga kura. Siku chache zijazo tutaona yatakayotokea katika uchaguzi wa Marekani. Laiti Kenya ingefanya uchaguzi mwaka huu, Rais Uhuru Kenyatta na Chama chake Jubilee wangeanguka vibaya sana.View attachment 1617270
Huyu jamaaa alishawahi kufumaniwa na Mke wa askari magereza maeneo ya Picha ya ndege kibaha wakampiga mtungo
 
Mchange njaa inamsumbua sana huyu jamaa. Hanaga msimamo. Alipoondoka ACT alitangaza hadharani kwamba hataki kujihusisha na siasa, lkn njaa inamtesa.

Hana mbele wala nyuma, analazimika kuwa malaya wa kisiasa.
Lockdown ni uwizi wa kura na kujitangaza mshindi,hatujawahi kuona kura zinatapakaa vituoni kwenye vikapu,mikoba,mabegi...kura ni mali ya ccm yani nec zote walizikabidhi ccm.
Mahela na jaji wote ni vibaraka wa ccm ofisi ya tume wahamishie lumumba
IMG_20201101_185725.jpeg
 
Tukirejea katika Bunge lililopita, laiti vyama vya Upinzani vingekuwa na Wabunge wengi, huenda wangefanikiwa kuishinikiza Serikali ifanye "lockdown" jambo ambalo kama ilivyotokea kwa nchi jirani lingepelekea mateso makubwa kwa mamilioni ya wananchi. Kwa kuzingatia ukweli kuwa uchaguzi huu umefanyika katika mazingira ya COVID 19 duniani, haikwepeki kuwa uchaguzi uliopita ulikuwa ni kipimo cha uongozi.

Kama inavyoeleweka, nyakati za majaribu ni nyakati za uongozi. Watu ama hubadilisha uongozi kwa kutafuta jemadari mpya, ama huwekeza imani zaidi kwa jemadari aliyepo anayefanya vizuri.

Watanzania wameling'amua hilo-na wamejibu katika sanduku la kura kuizawadia CCM ushindi wa kishindo. Haishangazi pia kuwa Serikali zilizoshindwa kuendesha mapambano haya kwa ufanisi- zimeadhibiwa na wapiga kura. Siku chache zijazo tutaona yatakayotokea katika uchaguzi wa Marekani. Laiti Kenya ingefanya uchaguzi mwaka huu, Rais Uhuru Kenyatta na Chama chake Jubilee wangeanguka vibaya sana.View attachment 1617270

Hawa NJAA zinasumbua, wanatafuta PUBLICITY ili wakumbukwe nafasi za u DC, RC nk. It is just PATHETIC kuona nguvu inayo tumika kujaribu kuifanya HARAMU ionekane HALALI
 
Wakuu
Nimebahatika kuangalia video clip kuhusu kinachoendelea katika harakati za uchaguzi

Leo Habibu Mchange, Abdallah Mtolea na wenzao wamefanya press conference.

Katika machache niliyoyanyaka ni pamoja na haya niliyoweka katika VIDEO

View attachment 1617272
View attachment 1617271
Magufuli alipoanzisha Teuzi kwa sifa za kuwa Mpumbavu, wasomi wengi wasaka ulaji kwa JPM hapa Tanzania wanaigiza kuwa Wapumbavu kama Habibu Mchange.
 
Tukirejea katika Bunge lililopita, laiti vyama vya Upinzani vingekuwa na Wabunge wengi, huenda wangefanikiwa kuishinikiza Serikali ifanye "lockdown" jambo ambalo kama ilivyotokea kwa nchi jirani lingepelekea mateso makubwa kwa mamilioni ya wananchi. Kwa kuzingatia ukweli kuwa uchaguzi huu umefanyika katika mazingira ya COVID 19 duniani, haikwepeki kuwa uchaguzi uliopita ulikuwa ni kipimo cha uongozi.

Kama inavyoeleweka, nyakati za majaribu ni nyakati za uongozi. Watu ama hubadilisha uongozi kwa kutafuta jemadari mpya, ama huwekeza imani zaidi kwa jemadari aliyepo anayefanya vizuri.

Watanzania wameling'amua hilo-na wamejibu katika sanduku la kura kuizawadia CCM ushindi wa kishindo. Haishangazi pia kuwa Serikali zilizoshindwa kuendesha mapambano haya kwa ufanisi- zimeadhibiwa na wapiga kura. Siku chache zijazo tutaona yatakayotokea katika uchaguzi wa Marekani. Laiti Kenya ingefanya uchaguzi mwaka huu, Rais Uhuru Kenyatta na Chama chake Jubilee wangeanguka vibaya sana.View attachment 1617270
Mtandao bado unasumbua na video inakata mno ila nataka nizungumzie kuhusu lockdown.
Katika magonjwa ya milipuko kuna namna nyingi za kukabiliana na majanga haya.Wale wenye umri mkubwa mwaka 1978/79 kipindupindu kiliingia nchini kikianzia delta za mto Rufiji.Serikali ilikana kuwa ni kipindupindu na ulitangazwa kama ugonjwa wa kuhara na kutapika.Wakati tunajipanga kikaingia Dar,kikapanda treni na mabus na kwa kipindi kifupi ikiwa kimetapakaa nchi nzima.Juhudi za kupambana nacho ilikuwa ni pamoja na kuweka road blocks kiasi ambacho mtu hawezi toka kijiji kimoja kwenda kingine na njia nyingine kama hizo.Leo outbreak ya kipindupindu hatufanyi hivyo tena.

Corona ni ugonjwa mpya na technolojia illiruhusu tuone yaliyotokea China na tukapata nafasi ya kujiandaa kwa kiasi.Serikali na wataalamu wake iliamua kutokuweka lockdown huku ikisimamia njia nyingine kama kupunguza misongamano,sanitizer/hand washing facilities na kutenga hospitali maalum.Pamoja na hatua hizo lakini watu walikufa kwa wingi mpaka ikafikia mazishi ya usiku.
Kwa kutokuweka lockdown inawezekana watu wameambukizana na kujenga kinga (herd immunity) au waliombukizwa wamekwisha na hakuna tena index case.

Waliokuwa wanahubiri lockdown walikuwa na nia njema na walioamua kuwa tuachie vilevile nao walikuwa na nia njema.Shida ni kuliweka hili jambo kisiasa zaidi,suppose hatua iliyochukuliwa ingesababisha maafa yaendelee j,je bado watu wangesifia?

Tutakuwa salama zaidi ikiwa tutapima watu na kujiridhisha ya kuwa ugonjwa hakuna na tusisahau kitu kinaitwa "second wave",virus bado vipo duniani.
 
JPM anawatesa sana upinzani, nafikiri lazima tuzo ya heshima iandaliwe atakapomaliza muda wake. Yaani anawaliza watu wazima hivi hivi tu. Salute!
 
Huyu na wajinga wenzie akina Philipo Mwakibinga wamekuwaga wapuuzi wa karne.
Njaa mbaya sana, na hasa pale unapokuwa mvivu na kutegemea siasa kama ajira
 
Back
Top Bottom