Kwani demokrasia ni kuchagua wabunge wa CHADEMA na ACT-Wazalendo?

Demokrasia ni kuvizuia vyama vya upinzani kufanya siasa wa kwa miaka 5 halafu wiki 8 za kampeni unawaminya tena kwa ban ya siku 7. Halafu unagundua bado wana ushawishi wanakushinda kwenye sanduku unaamua kuiba. Shame!
 
Ndugu zangu,

Baada ya Watanzania kutafsiri kwa vitendo umuhimu wa maendeleo ya watu na vitu kumeibuka mjadala mpya wa eti kwa sababu wagombea wa ACT na CHADEMA hawajachaguliwa basi hakuna demokrasia.

Hivi demokrasia ni lazima kuwe na wabunge mchanganyiko? La hasha!

Kama hawata kaa chini kutafakari chanzo cha anguko lao hakika watapotea.

Kuna ubaya gani Mbunge aliyekaa Bungeni kwa zaidi ya miaka kumi kama akina Mbowe, Zitto na wenzao wakipigwa chini? Je, wana jambo lolote jipya kwa wananchi? La hasha!

Demokrasia haimaanishi kuwa lazima wabunge CHADEMA au ACT-Wazalendo wachaguliwe.
Kwani demokrasia ni kuchagua wabunge wa chama kimoja cha kidola?
 
Ndugu zangu,

Baada ya Watanzania kutafsiri kwa vitendo umuhimu wa maendeleo ya watu na vitu kumeibuka mjadala mpya wa eti kwa sababu wagombea wa ACT na CHADEMA hawajachaguliwa basi hakuna demokrasia.

Hivi demokrasia ni lazima kuwe na wabunge mchanganyiko? La hasha!

Kama hawata kaa chini kutafakari chanzo cha anguko lao hakika watapotea.

Kuna ubaya gani Mbunge aliyekaa Bungeni kwa zaidi ya miaka kumi kama akina Mbowe, Zitto na wenzao wakipigwa chini? Je, wana jambo lolote jipya kwa wananchi? La hasha!

Demokrasia haimaanishi kuwa lazima wabunge CHADEMA au ACT-Wazalendo wachaguliwe.
Ni mataahira (mental retards) pekee ndiyo wanaweza kushangilia eti CCM na Magufuli wameshinda uchaguzi huu wa 2020.
 
Tunashukuru uchaguzi umekwisha kama ilivyokwisha Korona, sasa tusubiri maendeleo ambayo hayana chama, na tunakwenda kuendelea kuliko ulaya. Sisi ndiyo tutaitwa mabeberu sasa na tutakuwa donor country.
 
Ni mataahira (mental retards) pekee ndiyo wanaweza kushangilia eti CCM na Magufuli wameshinda uchaguzi huu wa 2020.
Na matahira ndio wapiga kura sasa wenye akili zao mabishoo wako na simu zao tu wanachamba serikali
 
Akili zimehamia matakoni unajamba jamba tu humu.

Mataga Subiri teuzi wakikukumbuka ndicho ulichobakiza.
 
Kama sera za mafly over zimeeleweka vyema inakuaje tena vibaka wenu wamekamatwa live na kura kwenye mabegi na vikapu ili kumnusuru mzee pombe??
Unajua wakati mwingine wewe mwenyewe unatakiwa ujiongeze.Usikubali kuchanganyiwa akili zote na viongozi wa chadema.
Jiulize maswali ya msingi
1-Kama kweli karatasi za kupiga kura zilikamatwa
(i) Alikamatwa nani?
(ii) Alikamatwa na nani?
(iii) Huyo aliyekamata alichukuwa hatua au uamuzi gani?
(iv) Kuwa sehemu ye yote ya mamamiko ya kukamata karatasi za kupigia kura kulitolewa taarifa? (iwe tume ya uchaguzi au police?)
(v)Aliyetoa taarifaa alifuatilia kujua hatua ambazo zimechukuliwa?
 
Inashangaza Sana mkuu kwamba demokrasia ni mpaka kina flani washinde.
 
Unajua wakati mwingine wewe mwenyewe unatakiwa ujiongeze.Usikubali kuchanganyiwa akili zote na viongozi wa chadema.
Jiulize maswali ya msingi
1-Kama kweli karatasi za kupiga kura zilikamatwa
(i) Alikamatwa nani?
(ii) Alikamatwa na nani?
(iii) Huyo aliyekamata alichukuwa hatua au uamuzi gani?
(iv) Kuwa sehemu ye yote ya mamamiko ya kukamata karatasi za kupigia kura kulitolewa taarifa? (iwe tume ya uchaguzi au police?)
(v)Aliyetoa taarifaa alifuatilia kujua hatua ambazo zimechukuliwa?
How old are you?

Tuanzie hapa kwanza.
 
Mkuu pole Sio kosa lako, ni kosa la uwezo wako! Mie binafsi nazani kwasababu demokrasia ya vyama vingi tuliletewa na watu wa magharibi tena chini ya masharti ya kiuchumi, lakini wakatuamini uwezo wetu na kutuachia tubadili katiba zetu ziendane na mfumo huo lakini tumeshindwa na tumebakia tu ni watu wa kuzugazuga kwamba tuna demokrasia ya multparty systema ilihali kiuhalisia sivyo! Basi ni muda sasa kwa wapenda demokrasia turudi nyumbani ilikotoka Demokrasia tukawaombe pia katiba ya kuendeshea hii demokrasia au watupe mwongozo wa uwiano wa kushare viti vya madaraka tangu serikalini mpaka bungeni! Kinyume na hapa sioni picha ya mahala tunakoelekea!
 
Kamanda peleka kero zako kwa Mbunge wako zitatuliwe,jazba itakuua
Niwapelekee majizi na wauaji wataniua tu. Sina mbunge mimi na wala mbunge si kazi yake kutatua Kero zangu wakati zake na za chama chake zimeatamiwa na kichaa.
 
Back
Top Bottom