THE BIG SHOW
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 16,365
- 12,823
- Thread starter
- #61
Mohammed Ally inabidi uwe organized kama kweli umeanzisha huu uzi kwa nia ya dhati. Na mojawapo ni kujibu maswali vizuri. Umeulizwa swali na hakulijibu, nami nina kukumbusha tena. Unadai serikali iliwaundia waislamu chombo BAKWATA kwa nia ya kuwa regulate. Lakini ajabu ni kwamba unaitaka tena SERIKALI hiyo hiyo inayowa regulate through BAKWATA iwaundie tena MAHAKAMA YA KADHI?! Huoni kwamba hizo statements zako mbili they are contradictory?! Ndiyo maana jamaa hapo juu akauliza nyinyi WAISLAMU mnachotaka ni nini hasa? Mkiundiwa chombo MLALAMIKA, msipoundiwa chombo na serikali MNALALAMIKA!?
sawa nimeuelewa
ila unachanganya kitu kimoja,sio dai la waislam kutaka serikali ituundie mahakama ya kadhi,
mahakama ya kadhi ni suala ambalo tumekuwa tunalidai liwepo kwenye nchi yetu kama lilivyo nchi zingine kama zetu za uganda,hata kenya
na sio kwamba tunaitaka serikali iunde la hasha,tulikuwa tunaitaka serikali itambue suala hilo kama suala lenye umuhim kwetu na wasiweke hoja za udni,sema hoja kuu iliyopo ni kwamba serikali ilikuwa inasema haiwez kuruhusu uwepo wa mahakam hiyo kisha bajeti ya kuendesha watoe wao
So,tunachotaka sisi kama waislam ni uhuru wa kutoingilwa kwenye mambo yetu kama watu wa iman zingine wanavyopewa uhuru huo