Uchaguzi 2020 Kwani CCM mlitakaje!? Lissu ana kosa gani?

Nipo mkoa wa Mara Jimbo la musoma uwanja aliofanyia mkutano mgombea wa uraisi ccm ndio huhuo huo aliofanyia mgombea wa chadema(uwanja wa shule ya mkendo mprimary).
 
Alafu cha ajabu Lipumba anapigaga nyundo kwa JPM nyingi tu lakini hatolewi matamuko.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom