Kwani aliyemshauri Diamond Platnumz kuvaa vile nani?

Nimepewa habari kuwa kigoma independent amejaribu kujiua mara mbili.........
 
Amekataa kuufata utamaduni wa mabeberu. Kathamini cha nyumbani. Watanzania ni wamoja na wamasai ni ndugu zetu.

Safi sana chibu dangote, uvaaji wako umeleta uzi jf.
 
Nisiwe mnafiki, nimeshangaa sana! Sababu ni hizi hapa, nitapokea kukosolewa sababu si mtaalamu sana;

1. Haimbi nyimbo za asili sasa uasili ule ulitoka wapi?!!! Angekuwa Mpoto ingekuwa safi kabisa.

2. Kwanini hakuvaa ya kwao ya kimanyema? Hataki kabila lake lijulikane? Angeulizwa pale, kwa mfano na wale waliokuwa wanamfuata na kumshangaa na kumcheka, habari za kimasai angeweza kujibu?!! Anyway, sishangai sana kwani nilishawahi kumuona na heleni zenye msalaba wakati nasikia yeye ni Muslim.

3. Sijapendezwa na ile hali ya kumfanya kituko au mshamba fulani......hata hvyo lingao lile lilikuwa linaenda wapi duniani kama kule na karne kam hii?!!! Kwani Nigeria hakuna makabila?!!

Chawa wake wanasemaje
 
Angepata ushauri kutoka kwa maleigwanan wakamshauri mavazi sahihi ya kimaasai ,maana amevaa mavazi ya kike.
 
Back
Top Bottom