Kwani AC lazima ishinde ikipiga upepo siku nzima ofisini?

Michael Ngusa

JF-Expert Member
Aug 4, 2014
1,637
458
Jamani niko hapa ofisini, bahati mbaya AC iko juu usawa wa meza yangu...basi inanichapa mpaka nahisi niko kwenye freezer. Nikizima au kupunguza naambiwa "unataka tupumuliane humu!" Nikitoka nje kupigwa kajua nahisi kumiss dunia na radha zake kabisa, najiona nimetoka kwenye kifungo! nifanyeje? Kwani lazima ishinde on the whole day? Kwenye maofisi mengine pia ni hivi?

Nawasilisha.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom