Kwangu Sarafina Michael ataendelea kuwa mshindi bora wa Bongo Star Search toka ianze!

Huko mi sijagusia ndugu hapa nazungumzia uwezo wake wa kuimba na si kutoboa!.. nafahamu hata hilo ni jambo muhimu lkn uwezo wake unauzungumziaje..? Msikilize sauti,vocal zake mipangilio n.k mtoto anavyonata na biti Kama amekula yabisi mpk mimacho inawatoka mafisi..
she is just like a parrot

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom