TIMING
JF-Expert Member
- Apr 12, 2008
- 24,824
- 11,197
i hear you bro... and unfortunately, i must agree with youKatoa mtu mmoja lakini kajibiwa na a chorus of personality cult abayo ina ignore ukweli ninao expose.
Kuhusu kunyimana, mi sina fetish hiyo (kutaka watu kama yeye) kwa bahati nzuri au mbaya. Halafu niko Japenga.
Uki reduce kila kitu kiwe explained na carnal desires unatuonyesha jinsi wewe unavyofikiri kuliko anything else.
it is the fact... and you nailed!!!
on red, it was just a joke mkuu, i hope you understand the mickey out of my post