Kwangu mimi, Regia Mtema ndio mbunge/mwanasiasa mahiri mwanamke mwaka 2011... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwangu mimi, Regia Mtema ndio mbunge/mwanasiasa mahiri mwanamke mwaka 2011...

Discussion in 'Celebrities Forum' started by only83, Dec 28, 2011.

 1. only83

  only83 JF-Expert Member

  #1
  Dec 28, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 444
  Trophy Points: 180
  ..Baada ya uchaguzi wa mwaka 2010 kuisha na CCM kufanikiwa kuchakachua kura za jimbo la ifakara lakini bado akapata nafasi ya mbunge wa viti maalum kupitia CDM,japo ni mlemavu lakini kwa hakika amekuwa jembe la ukweli kwa chama changu makini cha CDM na amekuwa akiendelea kukubalika kwa kada mbalimbali za watu hasa vijana...ni watu wachache wenye hali kama ya dada huyu wanaoweza wakafanya kazi ya kukaa sehemu zaidi ya mwezi kwenye mapambano...amefanya hivyo Igunga na sehemu nyingine nyingi...

  ..Nimefanikiwa kumsikiliza live dada Regia kwenye mkutano mmoja hapa viwanja vya barafu DOM,she is energetic,patriotic,confident,responsible,and more than that she is beatiful....I like the way anavyoongea,ni makini na kwa hakika anaitaji pongezi kwa wabunge na wanasiasa wanawake kwa Tanzania....Na kwa chama changu amekuwa ni msaada sana kukijenga sehemu mbalimbali hapa nchini....

  ..Hongera dada Regia,keep it up!!  17456_284697267275_695827275_3273138_3199174_a.jpg 17456_284697317275_695827275_3273142_3059808_a.jpg 375369_285754451463852_207856559253642_796252_435702215_a.jpg 17456_284697347275_695827275_3273144_117286_a.jpg
   
 2. Puppy

  Puppy JF-Expert Member

  #2
  Dec 28, 2011
  Joined: Oct 6, 2011
  Messages: 2,267
  Likes Received: 653
  Trophy Points: 280
  Ni Mwanadada wa kuigwa. Ni jasiri na hatafuti excuse ya ulemavu kushindwa kufanya kitu.
   
 3. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #3
  Dec 28, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  She is pretty sure that I love her.
   
 4. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #4
  Dec 28, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  mnh..... baba mchungaji vipi tena?? naona unasisitizia mapenzi kwa kondoo wako....

  naruhusiwa kuja kuchumbia regia hapo kwako?:A S embarassed:
   
 5. T

  Topical JF-Expert Member

  #5
  Dec 28, 2011
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  The opposite is true
   
 6. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #6
  Dec 28, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Una Tembocard MasterCard wewe?
   
 7. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #7
  Dec 28, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  tena nina gx100
   
 8. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #8
  Dec 28, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Ha ha haaaa!
  Yeye ana GXL V8...UTAMUWEZA?...huh!
   
 9. T

  Typhord Member

  #9
  Dec 28, 2011
  Joined: Dec 26, 2011
  Messages: 29
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  CDM wabunge wa shoka wanawake hawazidi watano wengine wote walipata ubunge wao kwa vimemo na mashinikizo.
  Nawataja, Regia, Halima, Rose Kamili, Lucy Kiwanga na mmoja nimemsahau.
   
 10. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #10
  Dec 28, 2011
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,605
  Likes Received: 6,174
  Trophy Points: 280
  Kafanya nini?
   
 11. T

  Typhord Member

  #11
  Dec 28, 2011
  Joined: Dec 26, 2011
  Messages: 29
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ushaanza, maana ukisikia Regia Mtema unataka kulianzisha kama wakati uleeee. leave her alone please.
   
 12. jmushi1

  jmushi1 JF-Expert Member

  #12
  Dec 28, 2011
  Joined: Nov 2, 2007
  Messages: 17,544
  Likes Received: 1,892
  Trophy Points: 280
  Alihutubia mkutano huko Dodoma...
   
 13. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #13
  Dec 28, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,111
  Likes Received: 3,031
  Trophy Points: 280
  Aluuuu.....
   
 14. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #14
  Dec 28, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Hahahaaaaaaa... Safi sana preta... Jamaa kavua gamba kasahau kofia. Lol
   
 15. SOBY

  SOBY JF-Expert Member

  #15
  Dec 28, 2011
  Joined: Sep 19, 2011
  Messages: 1,265
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Naheshimu maoni yako, ila sikubaliani na umahiri wake.

  Mimi nadhani ni moja ya wabunge wasio makini na wapayukaji.

  Huwa hana pointi kabisaaa!!!.... mtu wa kulumbanalumbana tu!!

  Shortly...... a waste of taxes.
   
 16. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #16
  Dec 28, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Mtakie heri ya mwaka mpya 2008. Mbona siku hizi haonekani hapa. Mi namtafuta sana
   
 17. Bambo

  Bambo JF-Expert Member

  #17
  Dec 28, 2011
  Joined: May 18, 2009
  Messages: 237
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  ndo tatizo la nchi yetu vijana wakiweza kuunganisha methali mbili na riwaya moja basi wanaitwa majembe..na hasa wakiwa vyama vya upinzani..ukiwaulizia kwenye maisha yao wamefanya nini hata kwa wadogo zao wa mama mmoja hamna..na wanataka wapewe nchi..Hii nchi ni ya wakulima na wafanyakazi je umewahi kufanya lipi kati ya hayo ...jibu hakuna!!!afadhali wale wa chama tawala pengine hata walikimbiza mwenge..
   
 18. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #18
  Dec 28, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  umefanana na avatar yako kweli... mzigo ushakuzidi nguvu basi unakukukuruka tu
   
 19. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #19
  Dec 28, 2011
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,605
  Likes Received: 6,174
  Trophy Points: 280
  Una assume kitu ninachotaka kufanya, that is not cool.

  Nimeambiwa mbunge mahiri, umahiri hauji bila kazi inayoonekana, ndio maana nikataka kujua sababu za umahiri huu ni zipi ili tujue umahiri unaendana na kazi yake au la.

  Sijasema chochote kuhusu umahiri wake, naangalia methodology iliyotumika tu.
   
 20. Safety last

  Safety last JF-Expert Member

  #20
  Dec 28, 2011
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 4,224
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Nawasalute sana suzan kiwanga na Regia mtema.
   
Loading...