Kwan nini CCM inahamasisha uzalendo kwa wananchi badala ya kudeal na waliotufikisha hapa?

Mtarban

JF-Expert Member
Jan 14, 2015
3,846
5,057
Mimi nawashanga ccm na mwenyekiti wao, wameelekeza mashambulizi na utoaji Wa elimu kwa wananchi tuwe wazalendo na tuwaunge mkono.

Tutawaunga mkono pale maccm yaliyoshiriki kwenye hii mikataba yatakapokamatwa, kufungwa na hata kunyongwa.

Angalizo: katika kufuatilia hili tukumbuke pia Mkapa na Kikwete walihusika Moja kwa Moja katika mikataba hii

nawasilisha
 
Hizi ni mbwembwe tu. Kunamtu mmoja au wawili wanatafutwa kama ilivyokuwa ya Kitilya.
 
mbona ufisadi wote huo unaosemwa sijasikia Lowasa akitajwa? japokuwa wapinzani walisema ni fisadi na sasa ccm ambao ni chama tawala wanasema ni fisadi?
 
mbona ufisadi wote huo unaosemwa sijasikia Lowasa akitajwa? japokuwa wapinzani walisema ni fisadi na sasa ccm ambao ni chama tawala wanasema ni fisadi?

Wanamwita fisadi halafu hawamkamati as if kazi ya kukamata ni ya chadema!
 
Back
Top Bottom