Kwamini ualalishaji wa utoaji wa mamba si mzuri kwa afya ya Mwanamke | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwamini ualalishaji wa utoaji wa mamba si mzuri kwa afya ya Mwanamke

Discussion in 'JF Doctor' started by MziziMkavu, Jan 30, 2012.

 1. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #1
  Jan 30, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,616
  Likes Received: 4,617
  Trophy Points: 280
  Kwanini uhalalishaji wa utoaji wa mimba si mzuri kwa afya ya Mwanamke? Uthibitisho Unaonyesha ya kwamba utoaji mimba upunguzi vifo vya wanawake wajawazito.waasisi wa ualalishaji wa utoaji mimba wanadai yakwamba sheria zilizowekwa kuzuia utoaji wa mimba usababisha vifo vya wanawake wengi wanatoa mimba kwa njia hatari zisizo halali. madai haya ni kinyume na uthibitisho ulimwernguni

  kote. Vifo vya wajawazito hutegemeana kwa ukubwa na huduma za afya zipatikanazo katika vituo vya afya na sio ualalishaji wa miomba au kuwepo kwa utoaji wa mimba.Ualalishaji wa utoaji wa minba kwa hakika huatarisha maisha ya mwananke kwa njia nyingi na pia kuvunja sheria za haki za mwanadamu.Shida na vifo vya wajawazito.kulingana na somo lalilochapishva mwaka wa 2010 na gazeti

  moja la afya "The Lancet", linaonyesha vifo vya kutokana na hali za wajawazito zilipungua hadi asilimia 35 kutoka mwaka 1980 hadi 2008.1mchakato huu umekubalika na ni muhimu lakini vifo vya wajawazito vimebakia katika kiwango kilekile cha kupuuzwa katika nchi

  zinazoendelea (nchi maskini). katika mambo mengi hasa mahitaji muhimu ya kiafya katika jamii yanaupungufu. mara nyingi hakuna mkunga na mazingira ya vituo vya afya ni hayaridhishi kiusafi. Vifaa muhimu na vya ziada vya kutoa huduma ya papohapo kama gari la

  kukimbiza wagonjwa kutoka kituo kimoja kwenda kingine kwa ajili ya matibabu bora havijitosdhelezi, na mara nyingine kukosa kabisa. madaktari hawajafundishwa na kufuzu mafunzo ya uganga na ukunga na hata kutoa huduma nyingine muhimu za afya. mbali na hayo vifaa hivyo kuwa adimu na kukosa kabisa pia limechangia kwa ukubwa zaidi huduma hizi kuwa mbaya (hatari katika mwanamke

  mjanzito ipo tu hata kama mimba inasitishwa kwa kutolewa au kuzaliwa mtoto).Njia na suruhuhisho kushinda/Jawabu;Vifo vya waja wazito wengi vinaweza kupunguzwa kwa kuwepo utoshelezi wa vyakula vyenye vitamini kwa kina mama, huduma muhimu za afya na huduma bora za mkunga kwa mzazi pindi ana mimba, pindi anajifungua na hata baada ya kujifungua.katika nchi zilizoendelea kiwango

  cha kupunguzaa vifo vya wajawazito vinalingana na viwango vya huduma na utaalamu wa wakunga waliofuzu mafunzo kwa ajili ya kutoa huduma bora kwa wajawazito. (kutoka mwaka 1935 hadi 1950), shirika kuu la afya duniani (who).2hili lilianzishwa vizuri kabla ya kuenea kwa ualarishaji wautoaji mimba.Katika umoja wa mataifa, utoaji wa mimba kwa kiasi ulikuwa wa kawaida (Haukutishia maisha ya

  mzazi). Utoaji wa mimba ulialalishwa mapema mwaka 1973 (angalia uk 1). DK. Mary Calderone, Mwaka 1960, Mkuregenzi wa kale wa huduma za afya za uzazi, alisema kwamba utoaji wa mimba sio hatari tena kwa kuwa unafanywa vizuri na kwa utaalamu wa hali ya juu na waganga waliofuzu mafunzo.3Dk. bernard nathanson wa kale, na mwanzilishi wa utoaji sera za utoaji mimba wa naPaL pro-choice

  huko america, mwaka 1973, aliandika kwamba, sera ya malalamiko kuwa wanawake wangelikufa kutokana na hatari za utoaji wa mimba usio kubalika katika umoja wa mataifa, "sasa sera hiyo haitumiki tena, antibayotiki na madawa mengine yameleta punguzo kubwa katika

  idadi ya vifo vya wajawazito.4Uingereza na Ughaibuni uwiana kwa vifo vya wajawazito (UVw), idadi ya vifo vya wajawazito kwa 100,000 wanaozaliwa iliporomoka zaidi ya 550 katika mwaka 1931 hadi kufikia 50 katika mwaka 1960. maporomoko hayo yanalingana na viwango vilivyopo vya huduma na madawa katika wajawazito.5maleysia na srilanka wamepuguza kwa ukubwa vifo vya wajawazito kwa

  kutoa mafunzo ya wakunga, viongozi na madaktari na manesi kwa upana katika vijiji na sehemu ambazo zina maendeleo ya chini, na kuhakikisha kuwepo kwa usambazaji bora wa madawa na vifaa vya matibabu, kuzingatia kuwepo kwa huduma bora na za haraka za usafiri na mawasiliano na hasahasa huduma za ziada za haraka.6Kupunguza vifo vya wajawazito, tunatakiwa kuweka juhudi katika

  kumpatia mwanamke wa nchi ambazo zinaendelea uwezo sawa wa huduma bora, kama mwanamke wa nchi zilizoendelea kila mara ambazo zitaboresha afya ya mama na motto.Ualalisho aumanishi usalama.kinyume na malalamiko ya mashirika yanayounga mkono

  utoaji wa mimba salama, hakuma mawasiliano ya moja kwa moja kati ya swala la utoaji salama wa mimba na kiwango cha vifo vya wajawazito. kwa hakika utoaji wa mimba unaweza kukubalika lakini sio salama kwa mwanamke na unaweza kuwa mbaya, lakini! kwa kiasi kidogo ni salama. (angalia uk. 2).kutokana na makadilio ya shirika la afya duniani, shirika la wakimbizi, shirika la UnFPa na benki

  ya kimataifa, nchi nne ambazo zimepunguza kiwango cha vifo vya wajawazito kati ya kipindi 1990 na 2008 ni maldives, Romania, iran na bhitan.7nchi tatu kati ya hizo (Ukitoa Romania) zimezingatia sheria yao juu ya utoaji wa mimba.Mipango mingine mingi inaonyesha kupinga kwamba mchakato wa utoaji mimba hauongezi vifo vya wajawazito. Mwaka 1989, Chile walipinga utoaji wa mimba, na idadi ya

  vifo ilizidi kupungua. Leo hii chile inakumbwa na idadi ya asilimia kidogo sana za vifo katika mataifa ya Amerika na ukizingatia utoaji wa mimba haukubaliki.8katika mataifa ya marekani ya kati ya nicaragua na £L-salvador, Utoaji wa mimba ni haramu kabisa. nicaragua

  imeshuhudia kiwango cha vifo vya wajawazito kimepungua kwa asilimia 44 kutoka mwaka 1990; kiwango cha vifo vya wajawazito cha eLsalvador nacho kimepungua kwa asilimia 44.9Uholanzi wamekataza utoaji wa mamba na kuzusha wanachoamini watu wengi kuwa ndio wenye vifo vichache vya wajawazito.10 Polandi walikataza utoaji wa mimba mwaka 1993, baada ya maka anbayo utoaji wa mimba

  uliendekezwa sana. huko Polandi vifo vya wajawazito vimepungua kwa kiasi cha Sehemu. 1Vifo vitokanavyo na utoaji wa mimba katika umoja wa mataifa kati ya mwaka 1940- 2006Source: U.S. Center for Health Statistics and U.S. Centers for Disease ControlKuhalalishwa

  kwa utoaji mimba mwaka 1973 haukua na faida wala mabadiliko yoyote hata kipindi ya kupunguza vifo vitokanavyo na utoaji mimba, hivyo vifo viliendelea kuongezeka tu.asilimia 67, tangu mwaka 1990, na ni miongoni mwa nchi zilizo na kiwango kidogo cha vifo vya aina hiyo ulimwenguni.11Ukweli ni kwamba Afrika kusini walipenda kuipitisha na kuikubali sera ya utoaji mimba katika mwaka wa 1997.

  Tangu siku hizo vifo vya wajawazito viliongezeka. Sasa vifo vya wajawazito vimekadiliwa kufikia hadi 410, karibu kufikia kiwanfo cha mwaka 199012 cha kule kanada; ampapo wanaruhusu utoaji wa mimba na kuleta angezeko la asilimia 94 kutoka mwaka 1990 hadi 2008.13 Vifo vya vya wajawazito katika mataifa ya Narekani ambapo pia wanaruhusu utoaji wa mimba vimeongezeka kwa asilimia 96.14Uhalalishaji wa utoaji mimba hujenga mazoeaUalalishaji wa utoaji mimba sasa unaonekana jambo la kawaida katika baadhi ya

  nchi. kuruhusu utoaji wa mimba haumaanishi kwamba mchakato huo kuwa salama, hizi ni imani potofu. huko marekani ambapo wamehalalisha utoji wa mimba mchakato huu umeleta ongezeko kubwa la utoaji mwingi wa mimba. katika umoja wa mataifa wa marekani imekadiliwa utoaji wa mimba kufikia 98,000 kwa mwaka, na hata kufikia kilele cha idadi ya million 1.6 kwa mwaka wa 1973,15

  tangu wakati huo zaidi ya watu million 53 wametoa mimba.16stanley henshaw wa chuo cha Gehmacher (mwakilishi) anaeleza kuwa katika nchi nyingi utoaji wa mimba ulipo alalishwa umekua jambo la kawaida kama ule tu wa marekani ulio endekezwa zaidi na hata kufikia kukubalika.17Kitu haki hupendeleaUtoaji wa mimba ulioalalishwa hausaidi chochote katika kutatua tatizo la uduma maskini za

  afya katika nchi zinazoendelea. na hivyo basi kuna angalau baadhi ya sababu kuu tatu nzuri ambazo kwanini chaguo la utoaji mimba si jema.Kwanza, haki huitaji serikalki kutunza sheria muhimu za kila mtu katika jamii. Ukweli wa sayansi uliositirika unadai yakwamba

  mtoto ambaye hajazaliwa ni kumbe hai na kinaishi (hamo sapiens). kama vile tu ilivyo kwa kila mmoja wetu, kwanzia siku ya kwanza ya ukuaji wake tumboni.18hivyo ni sheria iliyojengwa na umoja wa mataifa katka haki za binadamu19 kwamba watu wote wana haki sawa katika misingi ya haki kwa jamii na wanaitaji kuheshimiwa na kulindwa.20hivyo sheria inatakiwa kuwalinda malkia watoto na vichanga

  ambao hawajazaliwa kama vile tu sheria inavyotulinda sisi ambao tumeishazaliwa na kuwa watu wazima. na kumbuka hata sisi tulipitia hatua hiyohiyo , hivyo hatuna budi kuwalinda vichanga. sheria yoyote ambayo inaruhusu uuaji wa viumbe kama hao ni haramu, na hatua kali inapaswa kuchukuliwa dhidi ya mtuhumiwa.Pili, kwa sababu ualalishaji wa utoaji mimba kwa kawaida unaongeza idadi kubwa zaidi

  ya utoaji mimba, pia uongeza idadi ya malikia (vichanga) ambao hawana dhambi (walio tumboni) kufa kwa zaidi. kiwango hicho cha mauaji kimefanya utoaji wa mimba kuwa wa kawaida na kuonekana cha haki katika nchi ambazo wamehalalisha jambo hili. maisha ya watu yanapotea, pindi utoaji wa mimba unapohalalishwa.Hatari ya utoaji mimbaTatu, utoaji mimba hata nchi ambazo zina uduma na

  ubora wa vituo vya afya kama Umoja wa mataifa wa marekani wanawake wapo katika sehemu kubwa ya hatari.21 Uwezekano wa upasuaji wa sehemu za mwili (oparesheni) katika sehemu za uzazi za mwanamke, inaweza kusababisha uaribifu wa mimba, na hata kuleta maumivu makali, na hata kukomesha uzazi kabisa.Mda mwingine utoaji wa mimba ni mgumu sana ambao unaweza sababisha

  kifo kwa mama mjamzito. Zaidi ya wajawazito 400, huko Marekani wamepoteza maisha tangu mwaka 1973 kutokana na utoaji mimba uliohalalishwa.22 Madhara makubwa yanayotokea baada ya utoaji mimba ni kama, kujifungua mimba changa, kupata kansa ya matiti na hata kukoma uzazi kabisa, pia mtoto kujitunga nje ya tumbo la uzazi, hii yaweza kusababisha maafa kama matibabu bora na ya haraka

  hayatazingatiwa mapema.Utoaji na mimba pia unaweza kuleta madhara mengine wengi kama, huzuni, kudhuhurika na madawa vibaya, kuwa na mawazo yasababishayo kutopata usingizi na hata kuleta ugonvi (kutoelewena) baina ya wapenzi na jamii nzima, na pia imetela majuto makubwa kwa wake na waume kwa kushiriki tendo hili la utoaji mimba.23Utoaji wa mimba katika nchi ambazo hazijitosherezi

  kimadawa na huduma bora moja kwa moja hii ni hatari katika nchi hiyo na italeta matatizo na mateso mengi kwa wanawake na hata baadae kuleta vifo vingi. Jeanne E. Head, R.N, Mwakilishi kutoka Umoja wa Kimataifa katika kitengo cha haki ya kuishi, Anaelezea, "wanawake wapo katika hatari kwa sababu wanakosa kumwona daktari (kuhudhuria kliniki ya wajawazito), kwenda hospitali au kupata

  madawa kabla ya kuruhusiwa kufanya utoaji huo wa mimba uliohalalishwa, na Tunawezaje kupunguza vifo vya wajawazito kwa watoto?Tunatakiwa kutumia asilimali zetu ili kusaidia huduma za afya katika zinazotumika na wanawake na mabinti. Tunatakiwa kijitahidi kuwapatia wanawake wa nchi zinazoendelea uwezo sawa na ule ule anaopewa mwanamke katika nchi zilizoendelea kwa kila baada ya

  mda, Ili kuhakikisha tunaweza kuleta maendeleo ya afya kwa mama na mtoto.••Sehemu. 2Vifo vya wajawazito, 2008Kwa 100,000 wazaliwaoAmérique du Sud Afrique AsieAvortement légalAvortement illégalAvortement illégalAvortement illégalChimbuko: shirika la afya Duniani na mengineyo, Mabadiliko katika vifo vya wajawazito katika mwaka 1990 na 2008.Avortement légalAvortement légalmtu

  kama huyu atakua hatarini hata baada ya kuruhusiwa kufanya utoaji huo wa mimba.na kama uhalalisho wa utoaji mimba utapendwa na watu wengi basi kama ilivyo katika nchi nyingine nyingi madhara na hatari kubwa zitawapata wale wanao ogopa huduma zilizo bora

  zipatikanazo hospitali.Mwanamke anahitaji matunzo muhimuUtoaji mimba uliohalalishua unaleta idadi la ongezeko kubwa la utoaji mimba hivyo utoaji huu pia huusisha madhara mengi kwa mwanamke. huduma bora katika vituo vya afya tu, ndio vinavyoweza kuleta suruhisho katika vifo vingi vya wajawazito kwa watoto katika nchi zinazoendelea (maskini).Source. National Right to Life
   
 2. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #2
  Jan 30, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Heading yako unamaanisha mamba au mimba?
   
 3. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #3
  Jan 30, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,616
  Likes Received: 4,617
  Trophy Points: 280
  Samahani mkuu ni mimba
   
Loading...