Kwambali naiona Tanzania mpya!

lameckkawawa

JF-Expert Member
Sep 13, 2015
944
665
Zimebaki siku chache watanzania kufanya mahamuzi kulipereka mbele taifa au tubakie hivi hivi tulivyo kuwapa Chadema nchi hawatafanya masiara watataka kuwa sibitishia kwa wananchi kwani ni waliwahamini ila kuipa nchi ccm watajisau tena vile vile hawata wajali wananchi kama wanavyo tuona sasa kawaida serikali ccm sio rafiki kwa watanzania hilo liko wazi Tanzania mpyaa chini ukawa tusioge maneno ya ccm harta mkoloni alitutisha kama ccm ila mwisho akatoka..
 
Back
Top Bottom