Kwamba Serikali ya Tanzania haiwafahamu wenye nyumba kiasi cha kumkata mpangaji kodi ya Majengo ni uongo wa kiwango cha chini sana na ni wizi

Ankara ya umeme inasomeka jina lako mpangaji ukilipa? Hadi useme hawamjui mwenye Nyumba ? Wewe mleta mada ndio hujielewi ukinunua umeme kule TRA na Tanesco wanajua mwenye Nyumba ndie kanunua .Ya kusema wewe ndie umenunua Hilo Ni lako na mwenye Nyumba wako si la TRA Wala Tanesco
 
Serikali imekuwa ikitamka wazi kuwa ni asilimia 25 tu ya eneo la Tanzania ndilo limepimwa. Maana take zaidi ya 75% ya nyumba zote zimejengwa maeneo yasiyopimwa, ujenzi wake unafanyika bila vibali na hivyo hazitambuliwi rasmi kwenye data za ardhi. Acha upotoshaji.
Umeme unawekewa hata Kama Nyumba haijapimwa na haiko maeneo rasmi

Takwimu za umeme ziko update zaidi kuliko za Ardhi kuwajua wamiliki Nyumba.Ni rahisi kumtambua mumiliki Nyumba kupitia bill ya umeme
 
Hebu tulipe hii kodi jamani! Imekuwapo muda mrefu tumekuwa tukilipa na wengine wakikwepa kulipa! Hivi mwenye nyumba ambaye hanunui umeme kwenye nyumba uliyopanga watampata wapi? Dawa ni hiyo wewe unayenunua umeme ukatwe na wewe utamkata mwenye nyumba wakati wa kulipa kodi yake! Chukulia kwa mfano unalipa kodi kwa miezi 6 kuna ugumu gani wewe kumkata shilingi elfu 6 ya kodi ya jengo? Tulipe kodi! Katika hili niko upande wa mama!
Majengo yanayotumia umeme tofauti na wa TANESCO kodi hii haitawahusu?!
 
Ankara ya umeme inasomeka jina lako mpangaji ukilipa? Hadi useme hawamjui mwenye Nyumba ? Wewe mleta mada ndio hujielewi ukinunua umeme kule TRA na Tanesco wanajua mwenye Nyumba ndie kanunua .Ya kusema wewe ndie umenunua Hilo Ni lako na mwenye Nyumba wako si la TRA Wala Tanesco
Hujaelewa kwa vile umekuja kichwa kichwa
 
Asipoenda mnamfanyaje na je kwanini wenye nyumba wasiitwe mapema kabla ya wizi kufanyika ?
Suala hili limeelezwa vizuri sana na serikali na utaratibu umewekwa vyema. Wewe unajaribu kulitumia kufikiri linaweza kukupa millage ya kisiasa. Bahati mbaya kwako watanzania tumelipokea vyema na tunalipa kazi inaendelea. Tafuta lingine
 
Kodi ya Majengo imelipwa ndani ya nchi hii kwa miaka na miaka , kwa kipindi kirefu ililipwa kwenye Halmashauri na kuwa mapato ya Halmashauri husika ili kusaidia miradi mbali mbali , mimi mwenyewe nina nyumba 2 kwenye halmashauri ya Temeke , nafahamu ninachoandika , Jina langu linafahamika vema kabisa na Halmashauri hiyo kama wenye nyumba wengine wanavyofahamika , huku kila jengo au nyumba ikirasimishwa kwa kupewa namba Maalum na kubandikwa Ukutani ili kila mtu aone .

Baada ya uchaguzi Mkuu wa 2015 ccm kuangushwa kwa kunyang'anywa halmashauri kubwa kubwa , ikiwemo Halmashauri ya Jiji la DSM , yenye majengo mengi na yenye kulipiwa pesa nyingi , kwa roho yake Mbaya , Rais wa wakati huo Magufuli akaamua kuzinyang'anya kodi ya majengo halmashauri kwa vile sasa zilikuwa chini ya Chadema , na kuamuru wenye majengo wote nikiwemo mimi kulipia kodi hiyo kupitia TRA , rekodi zote zipo na wenye nyumba wote wapo na wanatambulika na tayari walishawekwa kwenye mfumo wa malipo ( japo baada ya uchafuzi wa 2020 kodi hii imerejeshwa tena halmashauri maana chadema hawapo tena ), sasa kuwalipisha watu wasiohusika huku wahusika wanaopaswa kulipa kodi wapo na wanafahamika ni wizi wa kishamba sana uliolenga kutunisha mfuko wa serikali kwa NJIA YA HARAMU .

Kama walipaji walishakuwa kwenye mfumo na wanafahamika , huku kila nyumba mpya inayojengwa ujenzi wake hufanywa baada ya vibali vya halmashauri , kwanini Serikali imeamua kupora pesa za raia wasiohusika ?

Itaendelea ....

Simplicity fits the poor with their niche thinking. This is a hidden enabling business environment under the cover of relief to the overwhelmed rich individuals,housing sector, with their own making on spatial economy distribution. A mechanical economist in the name Mwigulu Lameck Madelu wa kudesa in their own making.
 
Kodi ya Majengo imelipwa ndani ya nchi hii kwa miaka na miaka , kwa kipindi kirefu ililipwa kwenye Halmashauri na kuwa mapato ya Halmashauri husika ili kusaidia miradi mbali mbali , mimi mwenyewe nina nyumba 2 kwenye halmashauri ya Temeke , nafahamu ninachoandika , Jina langu linafahamika vema kabisa na Halmashauri hiyo kama wenye nyumba wengine wanavyofahamika , huku kila jengo au nyumba ikirasimishwa kwa kupewa namba Maalum na kubandikwa Ukutani ili kila mtu aone .

Baada ya uchaguzi Mkuu wa 2015 ccm kuangushwa kwa kunyang'anywa halmashauri kubwa kubwa , ikiwemo Halmashauri ya Jiji la DSM , yenye majengo mengi na yenye kulipiwa pesa nyingi , kwa roho yake Mbaya , Rais wa wakati huo Magufuli akaamua kuzinyang'anya kodi ya majengo halmashauri kwa vile sasa zilikuwa chini ya Chadema , na kuamuru wenye majengo wote nikiwemo mimi kulipia kodi hiyo kupitia TRA , rekodi zote zipo na wenye nyumba wote wapo na wanatambulika na tayari walishawekwa kwenye mfumo wa malipo ( japo baada ya uchafuzi wa 2020 kodi hii imerejeshwa tena halmashauri maana chadema hawapo tena ), sasa kuwalipisha watu wasiohusika huku wahusika wanaopaswa kulipa kodi wapo na wanafahamika ni wizi wa kishamba sana uliolenga kutunisha mfuko wa serikali kwa NJIA YA HARAMU .

Kama walipaji walishakuwa kwenye mfumo na wanafahamika , huku kila nyumba mpya inayojengwa ujenzi wake hufanywa baada ya vibali vya halmashauri , kwanini Serikali imeamua kupora pesa za raia wasiohusika ?

Itaendelea ....
Wizi uliozidi wa wale wahujumu uchumi yani
 
Nimeipongeza serikali kwa hatua hii kubwa

TANZANIA tunahitaji muda tu kufika taifa lenye maendeleo pia
 
Back
Top Bottom