Kwamba pesa siyo kila kitu, sawa lakini hakikisha unazipata kwanza ndipo uongee huo upuuzi wako - Warren Buffet

IKUNGURU IJIRU CHUKU

JF-Expert Member
Feb 27, 2021
484
541
Pesa bila mikakati sio kila kitu ni pesa. Ili muamini;hoja yangu,tokea tumekusanya za Tozo kipi kimefanyika tukaanbiwa hiki ni Ile Tozo yenu? Mbona mwananchi moja moja anazidi kudidimia? Gesi juu Petroli juu, mafuta ya kula juu. Sasa kuanzia tarehe 8/09/2921 ukihamisha tu pesa benki kwenda benk nyingine inakula kwako.

Si muda mrefu nina shaka hata ukitoa kwenye ITM tutakatwa Tozo. Kama hatutaweza basi tuufuate ushauri wa Waziri wa Fedha ule wa kuhamia Burundi

Asante Mheshimiwa, Mungu akupe maisha marefu ulete kali zaidi ya hii.

Ameen
 
Pesa bila mikakati sio kilakitu NI pesa.Ili muamini;hoja yangu,tokea tumekusanya za Tozo kipi kimefanyika tukaanbiwa hiki NI Ile Tozo yenu?MBONA mwananchi moja moja anazidi kudidimia? Gesi juu Petroli juu,mafuta ya Kula juu. SASA kuanzia tarehe 8/09/2921.ukihamisha Tu pesa Benki kwenda Benk nyingine inakula kwako.Si MDA mrefu ninashaka hata ukitoa kwenye ITM tutakatwa Tozo. Kama hatutaweza basi tuufuate ushauri WA waziri WA Fedha ule WA kuhamia Burundi. Hasante Mheshimiwa Mungu akupe Maisha marefu ulete Kali zaidi ya hii. Ameen

Angalizo makato haya hayawahusu makada wote wa ccm uvccm tutaelewana tu
 
Dah ukweli mchungu na aliyesema sasa ana hela nitabishia nini, sisi wengine acha tusindikize tu wenzetu duniani
loudly-crying-face_1f62d.png
 
Nchi yangu ya ajabu sana, viongozi wake wako tayari kuwafukarisha wananchi wao, lakini wao, maisha yao ni ya raha na anasa, huku wakihitaji dua za wananchi kwenye majukumu yao na eti waishi maisha mazuri, Huo uzuri wa maisha wanaoutaka kutoka kwenye dua zetu ni upi ulio zaidi ya wao Kula bata na kufanya anasa?

Mwelekeo wa maombi Sasa, yanapaswa yabadirike yawe kinyume chake
 
Back
Top Bottom