kwakweli nimekwama! msaada kwenye tuta wakuu.

Tanki

JF-Expert Member
Apr 7, 2013
491
189
Habari za muda huu wakuu,

Wale wakuu wa kudownload huku na kule bila shaka watakuwa wanaijua website ya www.1337X. Humu kuna apps nazihitaji. Ila tatizo ni kwamba nashindwa kudownload. Nimedownlosd Uttorrent version 3.5.5 but kwenye site ya 1337x kwenye download si natakiwa kuchagua torrent??? baada ya hapo uttorent si inatakiwa ndo ianze kudownload. Sasa mimi nikigusa torrent inaniletea matangazo tu ( ADS) arafu site inafunguka nyingine kabisa. Msaada wenu wakuu. Nawezaje kudownload???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
unatakiwa kugonga sumaku 🧲 kidogo tu yani kama vile unaogopa au unanyata, ukigonga faster faster kihivyo lazima ikupeleke kwingine
 
Click kwenye sumaku. Kuhusu matangazo hayakwepeki ni kuendelea kufunga hizo pop up tu.
 
Back
Top Bottom