Kwakweli na hii ya kujirusha live-periscope ni hatari sana...watu wapinda sana duniani

mxyo16

JF-Expert Member
Mar 29, 2011
1,243
758
Hii imenichosha sana aisee, Ona sasa nesi kajisahau yupo ofcn kaji-broadcast live...akionyesha majaaliwa ya kifuani kwake, kacheza chura chura, kaongelea sexual preference zake anavyovuta bangi.....mabosi wameinasa wame msuspend...

3526FB7400000578-3636702-image-a-115_1465657276084.jpg


3526FB7E00000578-3636702-image-m-114_1465657268736.jpg


35267EE800000578-3636702-image-a-123_1465657333332.jpg


Yani huko periscope ni soo kabisaa, na ni dunia nzima watu wamepinda, ni uvutaji wa bangi, namatusi ingawa kuna mambo mengi kama biashara, dini nk lakini hii nayenyewe itakua na negative impact kwa vijana na watoto.....wazazi tuwe waangalifu....imagine watoto under age kuchati na watu wazima mambo ya kikubwa...dah.
 
Back
Top Bottom