Kwakweli bado nampenda

Zneba

Senior Member
May 12, 2010
192
7
Habar ya wakti huu wanajamvi,

naombeni mnipe njia za kumsahau mtu mloachana ukiwa bado unampenda coz naumia kupita kiasi jamani najitahidi kila namna nimsahau lakini wapi tuna mwezi na nusu sasa tangu tuachane
 
dawa yake ni kurudiana basi,.......ahahahaaaaaaaaaaaaaa_utakoma kuringa
 
Time is the Best Healer....
Hakuna Short Cuts..., ila kwa kuweza kupitisha muda keep yourself busy, fanya kazi sana na usikae peke yako jichanganye na marafiki zako na kufanya mambo unayopenda..., kama ukiwa peke yako hususan usiku ndio mawazo yanakuja kwa wingi, basi hakikisha unaenda kulala ukiwa umechoka, baada ya kufanya kazi za kukuongezea wewe maendeleo..., tafuta hobby ambayo ni physical iwe mazoezi au hata kulima kuhakikisha unachoka na akili yako haipo occupied na mawazo...

Ingawa sishauri killing the good moments lakini ikibidi kama mawazo yakija concentrate on the negatives za huyo bwana..., kuliko kukumbuka only the good times sababu utazidi kuumia...., You will never forget easily lakini atleast you will learn to cope after some time

Life Goes On........., Live and Let Die
 
kama wewe ni mwanamke dawa ni kutafuta mtu mwenye nanihino kubwa zaidi
utamsahau fast lol
 
wanaume huwa tunatafuta kifaa kikali zaidi fasta....pengine mwenye wowowo kubwa kumzidi lol
 
Habar ya wakti huu wanajamvi,

naombeni mnipe njia za kumsahau mtu mloachana ukiwa bado unampenda coz naumia kupita kiasi jamani najitahidi kila namna nimsahau lakini wapi tuna mwezi na nusu sasa tangu tuachane
Ninayajua machungu yake lakini ningekushahuri hapa lakini najua hapa siyomahali pake ungeniambia sababu yakuachana kwa PM.Ningekupa njia rahisi najua hata usingizi hupati maana hata ukimwona unasikia mwili unaishiwa nguvu japo unajikaza au hata kumpotezea lakini moyo unakuwa unaenda mbio pili unaweza kusema sipigi simu ukakaa hata siku tatu lakini ya nne utapiga tu najua hayo matatizo from my experience fanya hivyo ntakupa njia.
 
Tafuta kitu ambacho unakipenda ndio kifanye hicho avoid kwenda sehemu ambazo mlikuwa mnakwenda pamoja, keep yourself busy usikae peke yako sehemu moja jichanganye na marafiki, if you have a family jitahidi kuwa karibu nao
 
Tafuta kitu ambacho unakipenda ndio kifanye hicho avoid kwenda sehemu ambazo mlikuwa mnakwenda pamoja, keeps yourself busy usikae peke yako sehemu moja jichanganye na marafiki, if you have a family jitahidi kuwa karibu nao
]#

Mkuu u said it all
As if uko kwenye mahusiano vile
Ooooppsss sio mimi aise
 
Ninayajua machungu yake lakini ningekushahuri hapa lakini najua hapa siyomahali pake ungeniambia sababu yakuachana kwa PM.Ningekupa njia rahisi najua hata usingizi hupati maana hata ukimwona unasikia mwili unaishiwa nguvu japo unajikaza au hata kumpotezea lakini moyo unakuwa unaenda mbio pili unaweza kusema sipigi simu ukakaa hata siku tatu lakini ya nne utapiga tu najua hayo matatizo from my experience fanya hivyo ntakupa njia.

haya sasa_wa kware wanataka ku take advantage,..jaribu uone,
 
Unamuacha vip m2 unaye mpenda? Au we ndo umeachwa? Kama umemwacha mwenyewe sasa una lalamika nini!
 
Pole sana Mkabidhi muda wako Muumba naye atakuokoa na kukuepusha na mawazo kupitia njia ya kwaya na kusali muda mwingi kama ni mkristo, kama ni muismula basi nenda kashinde msikitini ukizingatia swala tano
 
Time is the Best Healer....
Hakuna Short Cuts..., ila kwa kuweza kupitisha muda keep yourself busy, fanya kazi sana na usikae peke yako jichanganye na marafiki zako na kufanya mambo unayopenda..., kama ukiwa peke yako hususan usiku ndio mawazo yanakuja kwa wingi, basi hakikisha unaenda kulala ukiwa umechoka, baada ya kufanya kazi za kukuongezea wewe maendeleo..., tafuta hobby ambayo ni physical iwe mazoezi au hata kulima kuhakikisha unachoka na akili yako haipo occupied na mawazo...

Ingawa sishauri killing the good moments lakini ikibidi kama mawazo yakija concentrate on the negatives za huyo bwana..., kuliko kukumbuka only the good times sababu utazidi kuumia...., You will never forget easily lakini atleast you will learn to cope after some time

Life Goes On........., Live and Let Die

Kweli akili yako inafanya kazi vizuri hii imetulia zaidi
 
Back
Top Bottom