Kwakuwa upinzani hauwezi kuchukua nchi, Kassim Majaliwa anafaa sana kuwa rais wa Tanzania 2025

2019

JF-Expert Member
Dec 31, 2018
2,318
2,000
Umuhimu wa kitu kizuri huonekana baada ya kutoweka.

Jiwe walilolikataa waashi lilikuwa jiwe kuu la pembeni.

Hakuna nabii anaekubalika kwao.

Mimi ni mmoja wa mtu aliemkosoa sana Magufuli, baada ya kufa nimegundua ukweli wa misemo hiyo hapo juu.

Rais Samia alianza kwa kuwapa tumaini Watanzania waliokuwa wamechoka na utawala wa Magufuli. Wengi tulijihisi hatuna uhuru wa kuongea na wa kisiasa. Tuliamini zaidi watu wa kwenye mtandao ambao wamegeuka na kuwa wanafiki.

Katika fuatilia yangu nimegundua Majaliwa ana uthubutu sana kuliko hata mama mwenyewe. Huyu mzee anajaribu kufuata kwa karibu nyayo za JPM lakini kwa sababu yeye siyo rais.

Tukiwa watz kwanini 2025 tusimpendekeze ili CCM impe kijiti?
 
mbwe

JF-Expert Member
Feb 23, 2018
718
1,000
Niamin mm huyu mama mwisho wake Ni 2025 yaan saiz wanamchora tu Ila ukifika muda muafaka watapita nae Kama upepo maana katiba ipo Waz kabisa Hana sifa za kugombea bara.

Na hata Kama atabadirisha katiba niamin mm Mobeyo hawez kukubali huu ujinga Tena ,alitumia busara lakin busara mwisho 2025 anyebisha abishe Ila 2025 Raisi Ni Kati ya majaliwa au mpango.

Najua ukweli unauma Ila iko hivyo bandugu na hakuna wa kukwepesha hili.
 
Ismoo

JF-Expert Member
Apr 18, 2018
415
500
Binafsi siwezi kumpa kura yangu ya turufu 2025 labda kama wata simamisha mgombea mwingine
 
Msela Baharia

JF-Expert Member
Jun 12, 2016
530
1,000
Niamin mm huyu mama mwisho wake Ni 2025 yaan saiz wanamchora tu Ila ukifika muda muafaka watapita nae Kama upepo maana katiba ipo Waz kabisa Hana sifa za kugombea bara.

Na hata Kama atabadirisha katiba niamin mm Mobeyo hawez kukubali huu ujinga Tena ,alitumia busara lakin busara mwisho 2025 anyebisha abishe Ila 2025 Raisi Ni Kati ya majaliwa au mpango.

Najua ukweli unauma Ila iko hivyo bandugu na hakuna wa kukwepesha hili.
Na akimpiga mabeyo chini kabla ya 2025 mtafanya nn?

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
2019

JF-Expert Member
Dec 31, 2018
2,318
2,000
Niamin mm huyu mama mwisho wake Ni 2025 yaan saiz wanamchora tu Ila ukifika muda muafaka watapita nae Kama upepo maana katiba ipo Waz kabisa Hana sifa za kugombea bara.

Na hata Kama atabadirisha katiba niamin mm Mobeyo hawez kukubali huu ujinga Tena ,alitumia busara lakin busara mwisho 2025 anyebisha abishe Ila 2025 Raisi Ni Kati ya majaliwa au mpango.

Najua ukweli unauma Ila iko hivyo bandugu na hakuna wa kukwepesha hili.
Mpango hafai kabisa ni dhaifu mno
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom