Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,506
- 15,997
Naam, kama somo lilivyo hapo juu vita vya kiuchumi dhiti ya mabepari wa kimataifa si rahisi,haijawahi kuwa rahisi. Tulilalamika sana na sasa Raisi Dr.Magufuli kajitoa kupambana nao si wadogo hawa ni wazito wengi ndio viongozi katika mataifa yao na taasisi za kimataifa zikiwemo taasisi zisizo za kiserikali za kimataifa zenye ushawishi duniani.
Mwl.Nyerere alipata kusema kipindi tunaingia kwenye azimio la Arusha kuwa ''tunapotaka kujikwamua kiuchumi dhidi ya mabepari na wakoloni, baadhi ya waafrika watatugeuka,watakuwa vibaraka wao dhidi yetu''.
Mkakati wa mabebari haya sasa ni dhahiri kupitia baadhi ya vyama vya siasa na taasisi zinazojiita za ''haki za binadamu'' na baadhi ya watu wenye ushawishi ambao ni watanzania na waafrika. kuna baadhi ya nchi jirani kama Kenya baadhi ya taasisi zimenunua vipindi katika media za huko ili kujenga taswira hasi dhidi ya maamuzi ya Tanzania kudai kodi na tozo stahiki. Hapa nchini kuna baadhi ya wanasiasa wamekuwa mara kadhaa wakiwawakilisha ''mabwana zao'' hao kwa njia mbalimbali.
Mkakati mkuu wa ''wawekezaji'' hao ni kutuondoa kwenye lengo, tusikubali kamwe kama taifa. Tusiyumbe, wanajitahidi kuleta ''vipaumbele'' vyao ambavyo havina tija kwa sasa tukatae hadi watulipe.
Naam, vibaraka hao wamo humu kwenye mitandao,hata humu JF. Ukiwasikiliza waweza kufikiri wana hoja,hapana ni nyoka tuwaangalie kwa makini wasije kutushawishi tukala lile tunda la katikati tukaangamia,tuwaue kwa kuwaponda vichwa vyao kwani ndio stahiki yao.
Namaliza kwa kukumbusha tu, wakati raisi anapambana na mabepari hayo sisi wananchi tupambane na vibaraka wao,tuwapuuze,'tuwachape' kwa hoja tuwadharau na tuwaondoe kwenye 'platforms' za mijadala kwa kura zetu mwaka 2020, hawafai.