Ni halali wadada wafunge PM zao. Yaani sijui nimekuona wewe ni mwanaume wa aina gani...Huyu mwana JF ananiumiza akili sana.View attachment 826005
Hayo ni mawasiliano binafsi sasa huku inahusu nini???Maoni yako,pm yako umefunga?
Kwa kweli.. amedharirisha wanaume wa JFUshamba ni mzigo
Fa uyu msanii auNamkubali sana nilikuja kujisikia vibaya kwamba kina FA walimpiga mtungo huyu mtoto
Kaubebe
Mkuu n utt akkua ataacha.Maoni yako,pm yako umefunga?