Kwakuwa alisema hanitaki,nimpe haki yake?

Ukiingia kichwa kichwa after 1week unaambiwa nna mimba yako
 
Dah, hii kuanika hayo mambo tutakuta mpaka njia kuu zimefuta hii app kwenye simu, tuishie kuchatia ofisini
 
Kama hutaki kumfanya au hutaki hayo mambo, ulimtongoza wa nini? Siyo vyema kucheza na hisia za watu...

Cc: mahondaw
 
Back
Top Bottom