msem
JF-Expert Member
- Nov 7, 2015
- 1,832
- 1,627
Eti niweke aya fupi fupi,hizo zako zina ufupi gani?! Na kwanini unapenda kurahisishiwa rahisishiwa?pambana uelewe,kama huelewi pumzika sio kulilia short cuts kama ulivyoamua kufanya short cut ya kuja kulalamika humu umepewa dawa fake badala ya kufata utaratibu wa kutoa taarifa hiyo nyeti sehemu proper kwa manufaa ya Taifa.Pole kwa unadishi wa ainahii. Naomba uwe unaweka aya fupi fupi ili tusichoke kusoma maandiko yako.
Ninachokiona, unatoa pongezi kwa woga. Unaamini tukisifia huduma zitakuwa nzuri. Unafikia hatua ya kushauri dawa feki nitoe ripoti, kwani thrd hii inafanya nini hapa? Hii ni ripoti kwamba Muhimbili kuna dawa feki! UNataka turudi hospitali na boksi la dawa?
Wa TZ wote wana kazi zao ndo maana mkulima aliambiwa kama una njaa, ufe tu! Kwa nini unataka lugha ya kulemba eti sasa ni nafuu? Shule ambazo wamefeli wameambiwa ninyi ni hovyo! Unatakla tusema sasa kuna nafuu ya kufeli? Nani asiyefahamu kwamba madaktari wanafika Muhimbili kutafuta wagonjwa wa kupeleka private? Hufahamu kweli?
My take;
Tatizo la dawa fake muhimbili sidhani kama lipo kwa kiwango unachojaribu kuiaminisha jamii,na pia tatizo hili ni la kidunia usidhani lipo Tanzania tu,so cha msingi ni kufata utaratibu wa kureport ili kuwe na records taifa liweze kufanyia kazi,badala ya kuongea kishabiki na kuexaggerate mambo.