Ikulu kutumia email ya yahoo na hili nalo lipo mahakamani?

Ikwanja

JF-Expert Member
Jul 12, 2011
2,082
581
Hivi ikulu yetu na hawa akina Salva na hili la kutumia email ya yahoo nalo lipo mahakamani? nasema hayo kwa maana sasa hivi hawa magamba kila kitu ambacho hawajatekeleza sababu inakuwa ni kuwa kwa sababu suala hilo lipo mahakamani. Sasa nauliza na hili nalo lipo mahakamani??????

viewer.png
 
Hawa nikuwatumia ma-spams kibao hadi ikolapsi

Nakubaliana na wewe mia kwa mia, nainza kazi hiyo leo, kuna zile spam za kuuza dawa za kuongeza nguvu za kiume na kukuza naniliu, ninazo nyingi nitawafowadia.
 
Salva msimamo ni huo huo hawa host wetu wengine ndio memba wa JF hukawii kukuta mambo ya ikulu kwenye gazeti la ijumaa. Yahoo hiyo hiyo ndio maana hata usalama hawana website
 
Hapana hapana usiofanye hivyo, pale wapo wateja wengi sana wa hio kitu mpwa
Nakubaliana na wewe mia kwa mia, nainza kazi hiyo leo, kuna zile spam za kuuza dawa za kuongeza nguvu za kiume na kukuza naniliu, ninazo nyingi nitawafowadia.
 
Hivi ikulu yetu na hawa akina Salva na hili la kutumia email ya yahoo nalo lipo mahakamani? nasema hayo kwa maana sasa hivi hawa magamba kila kitu ambacho hawajatekeleza sababu inakuwa ni kuwa kwa sababu suala hilo lipo mahakamani. Sasa nauliza na hili nalo lipo mahakamani??????

viewer.png

Ulitaka wasema @jf.com? tehe tehe tehe.
Naona kama wewe ni mgeni sana katika masuala ya it.
 
huwezi hata siku moja top gov secrets ukatumia yahoo..kuna watu wanajua kuhack sitashangaa issue zote za hii nchi washington(white house) wanazijua maana emails zote za serikali zinapitia marekani..
 
What a Shame yaan email za ikulu lazima ziende Usa ndo irudi bongo are we safe then?
 
So,tunaongozwa na marekani yaani email za nchi hadi zipitie huko,hataaari
 
huwezi hata siku moja top gov secrets ukatumia yahoo..kuna watu wanajua kuhack sitashangaa issue zote za hii nchi washington(white house) wanazijua maana emails zote za serikali zinapitia marekani..

Sio tu kupitia bali zipo kwenye server ya yahoo ambayo ipo chini ya usalama wa taifa la marekani, ndio maana habari za dhaifu kuhongwa suti n.k wanazijua maana si walikuwa wakiandikiana? Katika hili mie nipo salama kuliko ikulu ya Tz.
 
Kazi kwenu TISS kwani ndomoja ya majukumu kuakikicha habari zote kuhusu nchi hii zinakuwa ni kwajili ya watz na sio mataifa mengine. Leo hii FBI, CIA na mengine yanaweza kuingia kwenye hizo server mbalimbali nakutafuta habari lkn ss bado tumelala. Kazi tunayo vijana kulikomboa taifa letu.
 
Sio tu kupitia bali zipo kwenye server ya yahoo ambayo ipo chini ya usalama wa taifa la marekani, ndio maana habari za dhaifu kuhongwa suti n.k wanazijua maana si walikuwa wakiandikiana? Katika hili mie nipo salama kuliko ikulu ya Tz.

Kova, Makinda naomba muingilie nahili halipo mahakamani?
 
kwa hili kwa maslahi ya taifa sio sawa ikulu kutumia yahoo kwa kuwa kila kitu kiko exposed kwa usalama wa taifa marekani ,kwani hawa jamaa wa tiss hawalijui hili na wanafikiria nini kuhusu hili .
 
Back
Top Bottom