Kwako Raisi Magufuli na waziri wa ardhi

Vijisenti

JF-Expert Member
Mar 11, 2011
544
328
Muheshimiwa uliahidi kututetea wanyonge na naamini unajitahidi
kadri ya uwezo wako.
Kuna mengi tunafanyiwa na watu wa Idara ya ardhi hususani hawa
wanaoitwa mipango miji.
Binafsi nimeenda kuomba kibali cha ujenzi hapa Mtwara naambiwa
nibadili matumizi ya hati kwanza na gharama zake ni milion 3 na laki 9
Malalamiko ni mengi sana na mimi nimetoa kwa ufupi tu,

Muheshimiwa Waziri tunaomba wizara iweke wazi Taratibu za kubadili hati
na gharama zake AHSANTE.
 
Back
Top Bottom