Kwako Prof. Janabi, Heshima yako na hongera sana kwa kuitendea haki taaluma yako vyema

Paf

JF-Expert Member
May 25, 2021
1,703
3,304
Kwako Prof JANABI.

Heshima yako na hongera sana kwakuitendea haki taaluma yako vyema.

Tarehe 12/6/2021 umewasilisha international report kwa Mh Rais.
Ulijipanga vizuri mno.

Ulitulia sana, Body language inamvuta msikilizaji tangu ulivyopresent kabla ya uzinduzi na hatimaye hotuba yako nje. Prof JANABI nilikuwa nafuatilia kupitia runinga huku Mkoani, BIG UP.

Tulikuwa na Maprofesa wazuri pale Mlimani tangu wameingizwa kule MJENGONI wamekuwa waongo hadi wanafutwa uprofesa na akina msukuma.

Katiba inakanyagwa, Maprofesa wa sheria wanapiga makofi. Asante prof janabi na team yako kwa mpangilio wa presentation
 
Hongera kwake ....najua watu we.gi walimchukia alipoletwa ghafla toka ikulu....baada JK muda kwisha..wakamchukia sana nadhani sasa wamepoa na mambo yaenda sawa
 
Prof kwanza alivaa mavazi ya kikazi hahaaa....
Pili alitumia muda wa hotuba yake kuwatambua wasaidizi wake na wafanyakazi wa vitengo vyote vya JKCI huku akieleza kwa ufupi majukumu yao.

Tatu alieleza mambo kwa ufupi na kitaalam kuhusu kinachoendelea pale JKCI.

Hotuba haikuwa na mbwembwe za kisiasa, kiki wala kuji-amplify.

Binafsi niliifurahia.
 
... vipi ile ya RC Makalla kwenye the same tukio?
 
Kwako Prof JANABI.
Heshima yako na hongera sana kwakuitendea haki taaluma yako vyema.

Tarehe 12/6/2021 umewasilisha international report kwa Mh Rais.
Ulijipanga vizuri mno.
Ulitulia sana,
Body language inamvuta msikilizaji tangu ulivyopresent kabla ya uzinduzi na hatimaye hotuba yako nje.
Prof JANABI nilikuwa nafuatilia kupitia luninga huku mikoani.BIG UP,

Tulikuwa na Maprofesa wazuri pale mlimani tangu wameingizwa kule MJENGONI wamekuwa waongo hadi wanafutwa uprofesa na akina msukuma.

KATIBA INAKANYAGWA, MAPROFESA WA SHERIA WANAPIGA MAKOFI.
ASANTE PROF JANABI NA TEAM YAKO KWA MPANGILIO WA PRESENTATION
Mbona unachanganya madesa? Prof. Janabi alipresent kwa profession yake. Uliishawahi kumshuhudia Prof. Kabudi anapresent paper on "Constitutional Law?"
 
Yes,walijipanga vizuri. Wasilisho zao zilielimisha vizuri.Mimi niliguswa sana na mwenyekiti wa bodi Prof. Mahalu hususan wapi JKCI imetoka,wapi iliko, na wapi iendako.
 
Back
Top Bottom