Kwako pitbull na wana Chit Chat

kifo kitamu

Member
Jan 24, 2013
19
3
Freemason ni jamii ya siri, hakuna ajuae mambo yao yaendavyo wala hakuna freemason kimbelembele kama hawa humu jf. Na wewe mwenyewe huna sifa za kua freemason. Nibora ukajikite zaidi na mambo ya mungu, maana yeye ni mkombozi na hana vigezo wala mashri ya kujiunga nae,yeye hupokea kila mtu na kumfanya awe mwema mbele zake na jamii nzima.kama unataka pesa omba na umlilie mungu kwa nguvu zote nae atakujibu.

copy, manoah naona gemu limekua baya chezea mke ya mtu
 
Last edited by a moderator:
Huo sio upepo wa kupita, lazima uku peperushe

naona unajijibu mwenyewe hivi kwani ungecoment kwenye ile thread kuna ubaya gani?
Na kuna umuhimu gani wa kufungua thread hii?
MBUTANANGA!!!!
 
naona unajijibu mwenyewe hivi kwani ungecoment kwenye ile thread kuna ubaya gani?
Na kuna umuhimu gani wa kufungua thread hii?
MBUTANANGA!!!!

Eti amu maana ya ilo neno kwen capital huwa ni nini hasa lol .....
 
Last edited by a moderator:
Kama unajifia kafilie mbele peke yako. Unamhubiri Mungu ama mungu? Mungu anahubiri upendo na sio kuhukumu tu.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom