kifo kitamu
Member
- Jan 24, 2013
- 19
- 3
Freemason ni jamii ya siri, hakuna ajuae mambo yao yaendavyo wala hakuna freemason kimbelembele kama hawa humu jf. Na wewe mwenyewe huna sifa za kua freemason. Nibora ukajikite zaidi na mambo ya mungu, maana yeye ni mkombozi na hana vigezo wala mashri ya kujiunga nae,yeye hupokea kila mtu na kumfanya awe mwema mbele zake na jamii nzima.kama unataka pesa omba na umlilie mungu kwa nguvu zote nae atakujibu.
copy, manoah naona gemu limekua baya chezea mke ya mtu
copy, manoah naona gemu limekua baya chezea mke ya mtu
Last edited by a moderator: