Kwako Mpenzi Bite, "nisamehe mpenzi wangu wa moyo"

Sasa mbona umu watu wana sisitiza tusioe wanawake walio zalishwa kwakuwa wana tabia ya kuanzisha mahusiano tena na walio wazalisha kwa siri?
Humu JF watu hudaganya Sana wenzao, na kujimwambafai na kutukana single mother kumbe ndio wamewaoa, na hawana SAUTi, so hasira zinaishia kushambulia humu jukwaani kupoza machungu
 
Wanaume mkipendwa na kuheshimiwa huwa mnaanza vituko, nikupe Pole wanawake tukipenda na kuumizwa huwa haturudi nyuma, so pambana na Hali yako, na mkeo utakayempata atakuwa pasua kichwa
Duuh mkuu usinilaani mazima sasa, kukosea kupo wakati mwingine muwe na moyo wa kusamehe.
 
  • Thanks
Reactions: THT
Wanaume mkipendwa na kuheshimiwa huwa mnaanza vituko, nikupe Pole wanawake tukipenda na kuumizwa huwa haturudi nyuma, so pambana na Hali yako, na mkeo utakayempata atakuwa pasua kichwa
Mkuu umeandika kwa kukoleza..
 
Aise wa ubavu wangu Bite niko naye huku mchamba wima tunakula upepo mwanana na tuna mwanetu kwa upendo tu tumemuita jina Bite kwa hiyo waweza niita Ba Bite pia.
 
Humu JF watu hudaganya Sana wenzao, na kujimwambafai na kutukana single mother kumbe ndio wamewaoa, na hawana SAUTi, so hasira zinaishia kushambulia humu jukwaani kupoza machungu
Haiwezekan mtu aoe single mother halafu aje awatukane humu
 
ujumbe nimeupata Ila endelea na hamsini zako, nilikuwa naishi mtwivila, saizi nipo Dar....nimekusahau, nakumbuka jina lako tu
 
Pole sana mkuu...

in my collection na wanawake wanne wote wanaitwa Bite.
Wawili wa Dar, wawili wa iringa.

ningejua km unalenga mmoja kati ya hao ningekuachia.
 
Mume mwema hutoka kwa Bwana
 
Basi kuna wanaume wanajiona wao ndo wao hawawezi omba msamaha kama huu.haijarishi bite atamsamehe au hatomsamehe ila ujumbe huu binafsi nimeupenda.

Afu nyie wanaume ndo nawambia leo ukimkosea mwanamke ukaja na sorry 120 bila kurudi umuombe umuoe that stupid sorry of yours means northing.😏😏

Hivi unajuwa kipindi mwanamke yupo na wewe anakuwa amewakataa wangapi?

Mjifunze kupitia msamaha huu huyu ndo mwanaume sasa.
 
Inakuwaje mpaka mnapigwa ban aisee

Mimi niliwahi kupigwa ban Mara 1 tu mwaka 2018 na hiyo kitu sihitaji Tena kuona kikitokea
Hata mimi,mtu akiniudhi nanyamaza tu,najua nikijali nitazingua,kuna mtu aliwahi kunisababishia ban kizembe sana,nilijilaumu sana kumjibu shit!.

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom